Hivi Kibongobongo ni msanii gani ni mbabe yaani 'Ngumi Jiwe' zaidi ya wote?

Bongo movie ni Lulu upande wa kusukuma na bongo fleva ni mtoto Nandy nasikia ana ngumi kali sana
 
!
!

Sensei Kenny......Yupo Kibaha Hapo. Maaanina gusa unate
 
Kuna ambao wako fit ila sio watata hata kidogo mfano zola d.
Nadhani post ilitaka ambao watata, yaani ngumi mkononi.
Iwe hivi;
- Bou Nako
- Kala pina
- P Funk
- Fido Vato
- Chid Benz(yule wa zamani)
- Dudubaya
Hao watu ni watata sana na ni wakorofi by nature, ukizingua tu wala hawacheleweshi kurusha ngumi.
 
Ubabe wa aina hii uliisha 2007, siku hizi wana wanapambana na maisha, life la usela mavi ulishaisha, kufunga mtaa kwa maugomvi yalikuwa mambo ya zamani siku hizi people are advanced.
 
kuna fight moja ya kaseba na cheka ilpgwa jamhuri-moro, kaseba alchezea sn vitasa mara paap akatokea Zora dah! jamaa almrusha cheka kutoka kwenye ring hadi nje kama kashka karatasi
Dah!..umenikumbusha mkuu, inasemekana jamaa alitishiwa kufungiwa kuhudhuria mapambano yote ya ngumi hapa Tz asipoomba radhi hadharani,sikumbuki kama alifanya hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…