Hivi kijana unaejielewa inakuaje hadi unaoa single mother?

Aisee,
Labda alizamia South huko. Siku akirejea ndo utajua kwa nini Masai hali nyama pori
A Ukibahatika wanatoa mbususu kiroho safi yaani yoote
 
Dah bro issue yako ni nzito sana, miaka 10 sio mchezo, kweli mwanamke anazaliwa tayar ni "world class actress"
Noo broo sio actress, hawa viumbe hususan unaokuta wampitia sehemu kama bar au club ni wana nguvu za ziada wanazoweka kwenye uchi wao hivyo unapoingia mle anakumaliza kabisa kwasababu unakuta ana roho ya kisasi dhidi ya jinsia me.
 
Shida ya single mother ni huyo kidume alie mzalisha, minds you mostly unakuta jamaa ndo alichimba(akamuaacha) so wewe ukioa binti akapendeza, jamaa anaweza kurudi kwa style ya kulea mtoto akapata nafasi ya kumlaghai binti na mambo yenu yakaharibika.

So, kuoa single mother bi sawa na kujenga nyumba kwenye msingi mbovu.
 
Very sorry Nigga. The good thing with me is that I have prepared myself psychologically for the unexpected.
Usikata tamaa mkuu. Don't let your past destroy your bright future. Look for another women and make her your wife
Kiongozi, miaka Mitatu bado haitoshi kutoa shuhuda. Subiri wakati Mtoto atakapokuwa na Baba yake amerudi kwenye maisha ya Mwanae na Mkeo, utaelewa vizuri.

Siku zote damu ni nzito kuliko Maji.
 
Real niggaz bounce back, don't keep your ass down.
 
Mkuu hebu elezea(fafanua) vizuri nijifunze zaidi ,maana nataka kumzalisha mmoja
Nikuombe tu mheshimiwa ujikite kwa hivi vibinti vinavyomaliza six fanya juu chini ukazalishe ( in Chenge's voice bungeni) ukikapa mimba watume wakwenu wakamalizie taratibu hapo mtakuwa na upper hand hata kwenye mahari na mambo mengine hamtanyanyaswa na upande wa ukweni.
Kumbuka kuwa little fair marriage huwa baina ya familia za Masonko tu yaani Baba yako na baba yake mchumba wako wawe Madon yaani ile ukitazama haraka ndani ya geti ukute zimepaki kulger new model beast mode, Ford Ranger kati kati pale kuna Mazda unamalizia na Land cruiser macho ya panzi sura ya mnyama.
Aisee hapo hata mahari na michango ni bye bye.
Ila kama unaoa familia hizi za kwetu ambazo hakuna hata mwenye mali wala mtaji unaofika millioni mia mbili broo mind set za ukweni huwa ni kumset binti ajitahidi sana kuvuna mali na pesa zako haraka sana iwezekanavyo kabla your brighter days hazijaisha.
Sasa angalia hiyo situation kisha jipikche itakuwaje unamuoa singo maza ambae tayari ana kisasi cha kutokulelewa mtoto wake na mzazi mwenzie? Kifupi wewe unakuwa innocent but utapitia mateso na kuchukiwa sana hata kwa kosa dogo tu ambalo ilipasa kumuomba msamaha na yaishe.
Lakini utashangaa unaulizwa na singo maza Hivi nyie wanaume kwanini hamna utu wala huruma yaani wote hamna upendo kazi yenu ni kuumiza wengine tu?
Sasa hapo unashangaa uko peke yako but unaambiwa nyie wanaume,, which means kosa lako linaunganishwa na yale aliyokuwa anafanya mzazi mwenzake.
 
Tatizo mahali kwenyewe tulipokutania ndio kunatatanishs sana mkuu... Badoo 😫
 
Kiongozi, miaka Mitatu bado haitoshi kutoa shuhuda. Subiri wakati Mtoto atakapokuwa na Baba yake amerudi kwenye maisha ya Mwanae na Mkeo, utaelewa vizuri.

Siku zote damu ni nzito kuliko Maji.
Mkuu, kukaa na mwanamke miaka mitatu sio mchezo.

Tulishakubaliana namna ya yeye kuwasiliana na baba mtoto endapo ataibuka kutoka aliko. Akikiuka makubaliano anaondoka kwangu. Sitaki stress.

Hadi sasa sijawahi kujutia mkuu.

Mungu azidi kuibariki ndoa yetu
 
Kipondi uko unapambana kutafuta pesa kwenye Mvua , wao walikua chumbani wanapeana joto ...

Leo umejipata unaenda kufix matatizo ya mwanaume mwenzio , Stupid!!

Nitaweza kushawishika kama baba wa mtoto Alikata moto, Labda .
Kanuni za maisha huwa hazidanganyi ila endeleeni kujipa moyo tu..
Mwanamke mwenye mtoto aliefiwa mzazi mwenzake anatakiwa aolewe na mwanaume mwenye mtoto aliefiwa na mzazi mwenzie ili wawe sawa kwenye maisha..Ili mmoja akimuuliza mwingine mbona unaninyanyasia mtoto yule nae aulize hivyo hivyo.
hatuiti suluhu kama sio 1:1 au mbili mbili yaani ikibidi hata idadi ya watoto upande wapili ilingane na ya upande wa kwanza si simple reasoning tu?
Kama ulikosea kubali kuwa either ulikuwa teenager na ulikuwa bado na ujinga mwingi na ugeni juu ya ulimwengu wa mahusiano kama mimi, but usiendelee kulala kwenye hicho kitanda ukijifariji.. Wakeup mi nilikuwa 2o's but bado haiondoi kuwa lile nililofanya ni kosa but ninarekebisha no matter how far I have gone..
 
No matter mtoto alizaliwa kwa bahati mbaya au tamaa za ujana labda , point ni kwamba kuoa single mom ni kosa kubwa sana...

Kila mtu alee watoto wake kwa kadiri alivuojiamulia mwenyewe kuwaleta duniani ...
 
Sema uko naye na unatamba naye. Ila mkuu hauko sawa, mwanaume mwenue akili timamu hawezi kuoa single mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…