Hivi kuna kabila lenye watu wenye roho mbaya kama Wasagara?

Status
Not open for further replies.
Dunia haiko fair..kubali tu walikua hawana akili ndio mana wamepoteza vyote walivyokua navyo.

Licha ya hivyo kuna jamii za pwani mpaka leo zina maisha duni na katika miji yao haijachangamana sana na makabila..kwa mfano lindi na wilaya zake..unalizungumziaje hili.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sasa na wewe unatofauti gani na mimi..mana hata unayoyasimamia ni hayohayo ambayo huwezi kuhoji..laa ufungiwe mabomu ukajiripue.

#MaendeleoHayanaChama
Mimi nahoji wewe huwezi kuhoji hata kidogo ukianza kuhoji utaambiwa unakufuru kesho nenda kahoji kanisani au msikitini kwenu kuwa mungu wako ndio ana makosa alikubali kuumba maovu na mabaya hivyo akisema hawapeleke watu motoni huyo mungu wenu atakuwa hana uadilifu anaumba maovu halafu anataka watu wawe wema kweli huyu mungu anaakili?
 
Makabira yote ya Tanzania watu wake wana roho mbaya na ubinafsi.... ukiacha watu wa Pwani hasa Wazaramo, Wakwere, Wadoe, Wandengereko, Wadigo na Wamakonde...

Ni watu wa Pwani tu pekee katika nchi hii ndio hawana roho mbaya na ubinafsi...
JK ni wa wapi?
 
Kumbe pale Ruaha Mbuyuni ni Kwa wasagara sikulifahamu Hilo na pale Mikumi wenyeji kabila Gani?
 
Ukienda mgeni kwenye miji yao unaweza kufukuzia demu mwenye ngoma asitokee mtu wa kukustua hata kama mnakunywa wote bia moaka waakikishe umemgonga.
Yani minyege yako mwenyewe ya kutongoza tongoza ovyo na uzembe wa kutovaa mpira halafu unataka kulaumu watu wengine.
 
Wasagara sio wengi kwenye ofisi za umma hivyo impact Yao huwezi kuiona kirahisi Kama wapare ambao Kila sekta ya serikali wapo. Kwanza wakikaa ofisini utakuta wamenuna tu wanasubiri mtu wa ku victimize.
Imekuwaje wakawa wengi kila sekta ya serikali??
 
Sasa hao wamasai kwa nini wasifike saa kumi kabisa? Kuwahi kazini ni moja ya indication kwamba mtu yuko serious... Ila nimecheka wamasai kupiga matuta [emoji23][emoji23]
 
Sasa hao wamasai kwa nini wasifike saa kumi kabisa? Kuwahi kazini ni moja ya indication kwamba mtu yuko serious... Ila nimecheka wamasai kupiga matuta [emoji23][emoji23]
Wamasai wa kule feki wanakula ugali na mlenda,pia ukijipanga we mswahili unaweza kumuoa kabisa
 
hiyo ya demu sio wasagara tu iko Tanzania nzima, demu ukigonga baadae ndio utasikia skendo zake. Ukishapiga tu kesho utaskia mtaani yule demu aliwahi kubakwa na darasa zima

Hahahaa tatizo lenu mnafakamia sana hlf hamjichanganyi na masela

Wewe umehamia tu mtaani kusalimia husalimii bado unajikuta km vile wewe ndo kidume sanaaaa

Kaa na watu vzr watakwambia tu ht kwenye story utashangaa wanaingizia story za demu wako,wanaponda mbele yako moja kwa moja unajua tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…