Makombe pekee hayamanishi ukubwa wa clubKwani Madrid anashiriki kwenye mchezo Gani si ni soka na soka kipaumbele si makombe au Kuna nini kingine kwenye soka au unaongelea Nini mkuu maana hapa tunaongelea soka
Ukubwa wa Madrid ni upiKama unahisi kuna klabu ya mpira kubwa kuliko Real Madrid, itaje na utupe vigenzo vya hiyo klabu kuwa kubwa kuliko Real.
Ulitaka uje ujichotee tu ili ukanywee chumbani sio?Nimekuja nduki nikajua ni kilabu ya pombe..🤗
Naona kama huna point unasemaje timu kubwa na Haina makombe maana huu ni mpira na timu Ili iwe kubwa lazima ibebe kombe kubwa na kunyanyasa timu pinzani uwanjani ukubwa hauji kwa maneno Bali makombeMakombe pekee hayamanishi ukubwa wa club
Mfano Kwa Africa
Mamelod amekuwa bingwa wa CAF lakini haimaanishi wataizidi ukubwa Enyimba, Yanga, As vita, Gormahia
Huna pointKwa maoni yangu CHELSEA ndo klabu kubwa duniani anafuata madrid,man u... arsenal inakuwa ya 100 huko
Madrid tomu ya kisiasa zaidiHayo makombe yanaandaliwa na mshindi anapatika kisiasa za michezo ili ku promote biashara
We ndo hujui mpira unadhani ati ukubwa wa timu ni makombeNaona kama huna point unasemaje timu kubwa na Haina makombe
Madrid timu ndogo kwa CHELSEA level zake ni arsenalHuna point
Sasa mbona huna pointi maana hizo timu ulizosema kubwa england zote zinamakombe mengi ya ligi england kuzidi hizo timu ulizosema sio kubwa mkuu unaelewa ulichokiandika lakini🤣🤣🤣We ndo hujui mpira unadhani ati ukubwa wa timu ni makombe
Makombe ni mafanikio sio ukubwa
Kwa England timu kubwa ni Liverpool, man u, Arsenal, Everton na sio man city au Chelsea
SawaMadrid timu ndogo kwa CHELSEA level zake ni arsenal
Unazungumzia timu kongwe au kubwa?We ndo hujui mpira unadhani ati ukubwa wa timu ni makombe
Makombe ni mafanikio sio ukubwa
Kwa England timu kubwa ni Liverpool, man u, Arsenal, Everton na sio man city au Chelsea
Kwa ubora hapo sdhan real ndy topNaomba kujibiwa hili swali wakuu hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya hii timu ya real Madrid hapa tunaongea ki mpira na si kishabiki
Sawa mkuuKwa ubora hapo sdhan real ndy top
Madrid haizidi hata man uSawa
We unaufatilia mpira DStv wanawalisha vitu vya kibiashara na timu kubwa huzijui upo umekariri ati timu kubwa ni Madrid, Chelsea, man city na PSG😅😀🤣Sasa mbona huna pointi maana hizo timu ulizosema kubwa england zote zinamakombe mengi ya ligi england kuzidi hizo timu ulizosema sio kubwa mkuu unaelewa ulichokiandika lakini🤣🤣🤣
SawaMadrid haizidi hata man u
Makombe pekee hayamanishi ukubwa wa club
Mfano Kwa Africa
Mamelod amekuwa bingwa wa CAF lakini haimaanishi wataizidi ukubwa Enyimba, Yanga, As vita, Gormahia
Sasa mbona huna pointi nimekuuliza ukubwa wa timu ni Nini nitajie maana hii ni football ukubwa wake unaupataje tofauti ni makombe kabatiniWe unaufatilia mpira DStv wanawalisha vitu vya kibiashara na timu kubwa huzijui upo umekariri ati timu kubwa ni Madrid, Chelsea, man city na PSG😅😀🤣