Hivi kuna Mtanzania aliyekula bata kama Jakaya Kikwete?

Hivi kuna Mtanzania aliyekula bata kama Jakaya Kikwete?

Kwetu tambuka reli soko mjinga wanauza maharage yaliyopikwa bakuli mia mbili, na yashaungwa nazi kabisa

Unapika ugali usiku ukitoka kwny mihangaiko unamtuma Mtoto maharage ya mia mbili kwny bakuli siku imeisha

Ukishiba unaingia JF kwa miatano yako tu ya kifurushi kubishana Siasa za Katiba mpya
Daah..jamaa umenchekesha sn. Afu hapa nakula zangu chips kuku nusu [emoji16]
 
ssue za moyo unafuraha au huzuni ni la kwao binafsi

Hayo yote yakiwemo manissan na mahekalu hayana maana kama hayawaletei furaha!!!!! Tajiri anafurahia vipi mali yake wakati hawezi kula vizuri na kunywa vizuri kwa sababu ya ubovu wa afya yake?
 
Nakumbuka kipindi Cha mkapa mzee wangu aliweza kumiliki gar tatu kwa mpigo na wote tukasoma Private school
Kipindi Cha jkn akaacha mwenyewe nae broo akawa ndio ananza Kaz akitokea udsm lmv duh hatari Sana
Siwez sema yote ila kila tawala ina bahat zake
Akaja jpm dah broo ninae mfata katusua mbaya
Usikate tamaa mkuu kikubwa kupambana
 
JK mtu wa watu. Bondia wa kidigo kafiwa na Mama mzazi Tanga yeye akaenda akashiriki msiba. Ni mtu mmoja anafanikiwa akiwa hana kinyongo.

Hana ushamba wa kutunza chuki moyoni wala visirani vya kununiana na wanasiasa wenzake.
Nilichogundua wanaovikuta ukubwani huwa ni watu wakatili na roho mbaya, Ukizaliwa umevikuta havikupi shida
 
Mara nyingi wanaokula bata na kufaidi raha za viongozi ama matajiri huwa ni Wanawake zao na Watoto wao ambao hawajui stress za Madaraka au za kumiliki Mali nyingi

Kama Mwanasiasa na kama kiongozi huwa anapitia nyakati ngumu za stress, hisia za kusalitiwa na hata wakati mwingine nafsi inakusuta unapowafanyizia wanasiasa maadui zako ama kwa ku revenge au kuwadhibiti dhidi ya hila zao

Mzee Mkuu alikuwa anamalizia stress za uongozi kwa kupiga mitungi ya kirusi kwa kwenda mbele

Mwingine akawa anamalizia stress kwa kuongeza Ibada

Mwingine hisia zilikuwa zikizidi anachukua pipa na washkaji wake kwa jina la wafanyabiashara kwenda kula bata

Mwingine akawa anapanga watu barabarana 'wazuie' msafara wake anachamba, anafoka anatoa ya Moyoni nafsi inatulia

Kwa mawazo yangu anaekula bata zaid ni yule ambae hana muda wa kuwa na stress bila ya kujali ana kipato kiasi gani
"Mzee Mkuu alikuwa anamalizia stress za uongozi kwa kupiga mitungi ya kirusi kwa kwenda mbele"😳 (Awamu ya 1)

"Mwingine akawa anamalizia stress kwa kuongeza Ibada "😀 ,( ruksa)

"Mwingine hisia zilikuwa zikizidi anachukua pipa na washkaji wake kwa jina la wafanyabiashara kwenda kula bata"...duh (Lupaso)

"Mwingine akawa anapanga watu barabarana 'wazuie' msafara wake anachamba, anafoka anatoa ya Moyoni nafsi inatulia"...( Huyu jiwe alipata stress sana kwa ku-take kila kitu personal as if peke yake ndiye mwenye majibu)
 
Hapo we ungechagua ipi,mi ningekuwa naenda serengeti na totoz za maana
 
Hayo yote yakiwemo manissan na mahekalu hayana maana kama hayawaletei furaha!!!!! Tajiri anafurajha vipi mali yake wakati hawezi kula vizuri na kunywa vizuri kwa sababu ya ubovu wa afya yake?
[emoji23][emoji23],mkuu unaonekana uko na stress sana....
 
Mara nyingi wanaokula bata na kufaidi raha za viongozi ama matajiri huwa ni Wanawake zao na Watoto wao ambao hawajui stress za Madaraka au za kumiliki Mali nyingi

Kama Mwanasiasa na kama kiongozi huwa anapitia nyakati ngumu za stress, hisia za kusalitiwa na hata wakati mwingine nafsi inakusuta unapowafanyizia wanasiasa maadui zako ama kwa ku revenge au kuwadhibiti dhidi ya hila zao

Mzee Mkuu alikuwa anamalizia stress za uongozi kwa kupiga mitungi ya kirusi kwa kwenda mbele

Mwingine akawa anamalizia stress kwa kuongeza Ibada

Mwingine hisia zilikuwa zikizidi anachukua pipa na washkaji wake kwa jina la wafanyabiashara kwenda kula bata

Mwingine akawa anapanga watu barabarana 'wazuie' msafara wake anachamba, anafoka anatoa ya Moyoni nafsi inatulia

Kwa mawazo yangu anaekula bata zaid ni yule ambae hana muda wa kuwa na stress bila ya kujali ana kipato kiasi gani
Kamwambieni basi amwombee Mh.Mbowe msamaha.
 
Kuna wimbo unaitwa Money,Power,Respect wa Lox
Fist yo get money
Then you get maza f....r power
Then maza f......r guys will respect you.
What you want in life
Money Power Respect
JK got it all
Jk hajui njaa ni mdudu gani
Kubali kataa CCM ni mali ya Jk ,kinana na makamba
Jk kazunguka dunia nzima with power money and respect
Na bado anaonekana atakula hizi bata mpaka afikishe miaka 100
Ukijumlisha bata alizokula Jk hata ujumlishe marais wote tangu uhuru hawamfikii
Wanasema Jk bado unaongoza nchi gani sijui
Jk kana ni kweli mwambie mama atuachie yule DJ disco limepoa.
Mbona we ulivumilia kelele za muziki.
Inakuwaje wengine muziki uwe kelele.nadhani Mungu alikubariki sababu roho yako nyeupe huna nongwa na mtu.
God bless you Jk
Haters niueni
Makonda zama za Jiwe
 
Back
Top Bottom