Mkuu, mbona unakwepa kujibu swali halali? Kama unazo/unazijua faida (Tangible benefits) tuambie hapa.Wazazi wako wangekuwa na akili kama zako usingekuwepo hapa duniani.
Acheni kuleta defence mechanism, zaeni watoto.
Hii sahihi kabisaUnapokua kwenye mahusiano,jaribu kua makini sana hasa katika kumsoma mwenza wako ili usije ukapoteza muda wako bure,Binadamu haaminiki,
Some people aren't loyal to you,they are loyal to their needs of you,
Once their needs change,so does their loyalty.
Kataa ndoa bwana😀😀
Ni wajibu (yan ni Sharti)au ww unaweka shinikizo?? Hujasoma yale ya kule walikokuwa na mgogoro wa kiwanja halafu mmoja kaliwa kichwa?? Tafakari.Acheni janja janja, zaeni watoto.
Hakuna usichokijua mkuu.Mkuu, mbona unakwepa kujibu swali halali? Kama unazo/unazijua faida (Tangible benefits) tuambie hapa.
Yeah. Humu ni kujadiliana hata vile visivyo vya .......Humu JF wengi wanadanganyana ujinga na afu unakuta wao wanayafanya. Mtu anakuambia usioe,usizae tafuta pesa tu afu humjui maisha yake halisi nje ya hapa. Ukweli ni kua wengi wameoa au wana watoto
Wewe kama mwanaume, hata siku moja usije ukaruhusu ndoa au mji wako ukawa kama "Chama cha Siasa".Ni wajibu (yan ni Sharti)au ww unaweka shinikizo?? Hujasoma yale ya kule walikokuwa na mgogoro wa kiwanja halafu mmoja kaliwa kichwa?? Tafakari.
Faida yake ni nini labda??Ni upumbavu kufika 30 hauna mtoto.
Hatusemi ndoa, bali mtoto au watoto.
Hatua gani?Mbona hujachukua hatua mkuu?
Bado ni yaleyale majibu mepesi niliyoyasema hapo.Wazazi wako wangekuwa na akili kama zako usingekuwepo hapa duniani.
Acheni kuleta defence mechanism, zaeni watoto.
Kuepuka huo ubatiliHatua gani?
Wewe kama mwanaume, hata siku moja usije ukaruhusu ndoa au mji wako ukawa kama "Chama cha Siasa".
Kabisa mkuu. Kama mwanaume ukiruhusu hilo, ujue iko siku mtatoana ngeu haddharani.Kwamba kila jambo lazima mlipigie kura.
Exactly yes. Ingefaa kila mwanaume aliye ndoani alisome hilo hapo juuNdoa si Demokrasia, ndoa ni Ufalme, mwenye maamuzi ya mwisho ni wewe.
Na wala hupungukiwi chochote. Watu wanaamua tu kuyacomplicate maisha na kuyaongezea ugumuInawezekana ni maamuzi Tu mm mtoto nimepata nikiwa na 35 mwaka huu
Mbaga upo third floor plus 🤔 mbamizwa Supapawa mdg wanguNiko hapa, nna 32
huyo mbona dado mdogo.., wengine wapo 45 na mpango wa kuoa wala kuwa na mtoto hamna....Kuna mwanangu ana 36 na hana mpango wa kuoa (wala mtoto)
leo wala.kesho aisee
Kipenzi, unless wewe au mtu wako wa karibu alikuwepo wakati anazaliwa huwezi kupinga umri ambao yeye anausema. Mbona imeshasemwa kwamba hiyo 2006 alikuwa na miaka 16 walifoji umri ili ashiriki mashindano? Hata hivyo huwa nashindwa kuelewa hii obsession ya watanzania na umri wa watu inatokana na nini hasa.Wema nilimjua wakati anagombea u miss alivyoenda kutolewa shule mpaka sasa kwa hiyo namjua kiundani.
kiufupi hiyo 36 ni ya kwenye mtandao