Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

Ila wanaume jamni
 
Unakuta mtu ana taka kupata mtoto mapema ili amsaidie, alikua siku hizi mtoto kusaidia familia sio mpaka akuue na awe msomi angalia yamal, angalia justin Bieber walitoka wakiwa wadogo sana
 
Unakuta mtu ana taka kupata mtoto mapema ili amsaidie, alikua siku hizi mtoto kusaidia familia sio mpaka akuue na awe msomi angalia yamal, angalia justin Bieber walitoka wakiwa wadogo sana
Kwanini uzae mtoto akusaidie mm sina hiyo akili nazaa watoto kama jukumu na nitawaleta duniani kwa upendo sio kuwapa mzigo wa kunilea watanilea km watapenda ila sio jukumu lao
 
Mimi nipo 35 Sina mpenzi, Sina mtoto, Sina mke na Wala sijisikii vibaya ila Nina hela. Afya yangu ya kimwili ipo vizuri kabisa ila maisha Yana mambo mengi sana, Kuna watu mapenzi yalitujeruhi sana kiasi ambacho tumekuwa waoga mno wa kurudi tuliyoyapitia.
 
Kwa upande wangu nikipat tu mafanikio kuwasaidia watu ninaowapenda ni jambo zuri kwangu , sion umuhim wa kuwa na mpenz , zaid ni kuvurugiana aman ya moyo na akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…