Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

Kwamba niliyoyaandika hayapo?

Hujui chochote we dogo. Masista wana watoto na mapadre wana watoto, kaka yangu ni padre na ana watoto.

Funga domo kama hujui, yanayoendelea dogo.
 
Mwanaume akikosa pesa anatemwa vizuri tu!!!
Hapa ndio umejibu swali langu,

lakini kabla ya kutemwa tunaangalia tabia zake akiwa na ukwasi zilikuwaje???
Kwa sababu mwanaume anaye onyesha tabia zake halisi ni mwanaume mwenye pesa tu!!!
mwanaume maskini asiye na pesa huwa ana fake tabia siku zote.
Nimeuliza kua,tuseme huyo mwanaume alikua na pesa no doubt,ila yakatokea matatizo akafilisika,hapo inabidi wamkimbie sio? watafute mwenye pesa? na huyo mwingine nae akifilisika,wanamkimbia nae kisha wanaenda kutafuta mwingine sio? sasa hayo ni mapenzi au kutafuta soko?
 
Akifilisika hatutafuti mwingine tunaangalia kwanza kabla ya kufirisika halia ilikuwaje?
Tabia
Heshima
Maelewano
Jinsi ya kujali familia.
kama vyote hivyo vilikuwa vipo sawa tunakaa na kuvumilia.

Uzuri mwanaume akifirsika ni ndani ya miaka mitatu au mitano anarudi katika bora wake
 
Sikupangii malezi ila kumlea mtoto kwa njia aje awe tegemezi na kuthamini zaidi materialistic/Possession sidhani kama ni sahihi,mtoto alelewe na kufundishwa kujitegemea,

Kilichofanya kazi kwa upande wako kinaweza kisifanye kazi kwa wengine (Umesema wewe unaangalia pesa tu) Coz Dunia inabadilika na maisha yanabadilika,binadamu pia wanabadilika hasa kitabia na kimaamuzi.
 
Umesomea shule Gani ? Nacho zungimza hapa ni kua wanavunja Sheria hairuhusiwi, ukichukua konga ukajiwekea mndukuni hukatazwi ila kiutaratibu hairuhusiwi, huelewi tu
Huna akili, Mimi nimeandika kulingana na mada iliyoletwa we unazungumzia masuala ya kutoruhusiwa kisheria.

Waalimu waliokufundisha walipata sana tabu.
 
Yaani uzae wewe alafu mtoto akalelewe na bibi.

Hivi mnazaa ili kumfurahisha nani.Kama huwezi kulea acha kusumbua watu baki kama serious bachelor!!!
 
Asante kwa ushauri

Sijisifu kwa malezi.
Mwanangu huyyu wa kike yuko mwaka wa pili sasa
Ni mtaalamu wa jambo fulani hivi ambalo hilo jambo limemfanya aweze kupata unafuu wa masomo yake...... kaanza kuuza kazi zake akiwa na miaka 12 sasa yuko na 19.
Ukija kwa mama yake mimi ni mama, nafanya kazi zangu, biashara zangu pesa naipenda najua kuitafuta ila mwanaume asiye na pesa hatuhitaji kwenye familia yetu.

Hii tumerithi kwa bibi yake yaani mama yangu mimi.
Tunapenda pesa huku tukijua kuzitafuta
 
Mimi kilichonishangaza ni kwa wewe kusema;

''Akifilisika hatutafuti mwingine tunaangalia kwanza kabla ya kufirisika halia ilikuwaje?
Tabia
Heshima
Maelewano
Jinsi ya kujali familia''

Yani hizo criteria mtaziangalia baada ya Mwanaume kufilisika! ila kabla hajafilisika mlikua hamziangalii,
So,hata kama alikua na tabia mbaya,hana heshima,hakuna maelewano,hajali familia hayo kwenu yalikua ni sawa tu kisa alikua ana hela sio?

Nimesema hivyo coz umesema kua hayo mtayaangalia Baada ya Mwanaume kufilisika.
 
NYIE VICHOGO AMKENI KUTOKA KWENYE USINGIZI MZITO.

NIKIWAULIZA SWALI, MNAZAA ILI IWEJE???

NA SISI AMBAO HATUTAKI KUZAA MNATULAZIMISHA ILI IWEJE???KWANINI MNATAKA TUFANANE???

MBONA KAMA HUKO MLIKO MNAHISI MMEBUGI MNATESEKA NA MALEZI,HIVYO MNAFOSI TUTESEKE WOTE.

📌📌PAMBANENI NA MAISHA MLIYOYACHAGUA,SISI TUPO TUNAENJOY!!
 
Nimesema hivyo kweli kabisa.

kama aliyatimiza yote hayo hana sababu ya kuachwa kwa nn aachwe!!!! kwa sababu yeye kama mwanaume ile shock ya kufirisika ikimtoka lazima aanze kupambana na atarudi tu katika bora wake.
Hayo tunayaangalia kwa sababu yeye ni baba wa familia baba ana vigezo vyake na ndio hivyo sasa.
Hiyo ni kwa sababu alikuwa hafake.....
Sasa umaskini ukianza ataanza maigizo.... na mimi kama mwanamke nitakuwa najua hapa huyu anafake ili asichwe mi nitaamua kukausha au la!

Bila kutoa unafki ice hujui kama pesa sabuni ya roho????
Hujui kama pesa inarahisisha mambo???
Hujui kma kuna wanaume ni wanyanyasaji sana wanapokuwa na pesa???
Umalaya ulipitiliza hujui???

Huwa tunayaangalia yote hayo kwa sababu sisi wanawake ni watu wa visas huo ni muda wa kuangalia nikuchome wapi panapouma zaidi nikuachie historia

Lakini kama tuliishi vizuri walau kidogo sina sababu ya kukulipa ubaya kwa namna yoyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…