Hivi kuna sehemu Tanzania bodaboda wanakimbia kama hawa wa Arusha?

Hivi maana ya "CHALII" ni nini?,Usipojibu basically wewe una laana
Hawa watu ni media tu za kina mchomvu ndio ziliwapa airtime kibongo bongo na zile hip hop mavi za kibongo fleva ila ukikaa nao ni weupe yani kwao ujanja wanajua ni kuongea kiswahili kile cha ovyo ovyo na mavurugu though kwa wale walioenda shule ni watu poa sana.
 
Kweli kabisa mkuu
 
Hii ni kweli kabisa. Mimi ni mzawa wa arusha ila siwakubali kabisa hawa vijana ,

Vijana wa dar wana nafuu sana..
 
Viloba sana
 
Arusha wana usela ambao mikoa kama dar ulifanyiks miaka ya 1992 kipindi washua waliozamia mbele walipokuwa wanarudi sasa,inshort ni washamba wanaolazimisha kuprove wamejanjaruka!!
 
Umekula wali wa Bi Mchafu na Da Asha. Na supu ya Mama Salma inayokuwa served na mumewe akivaa apron huku mke akiwa dukani anamfokea [emoji23]

Dah, unaripoti kutokea wapi masta?
Naripoti kutokea Azimio[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…