Hivi kuna sehemu Tanzania bodaboda wanakimbia kama hawa wa Arusha?

Sifa za kijinga mr ebo alisema
 
Acha wivu wa kike jomba. Mtu kukuambia yeye ni mwehu haimaanishi yeye ni kichaa anamaanisha hapendi ujinga ujinga.

Mkitoka huko vijijini kwenu daslam mkaingia na ushamba Arusha lazima tuwaambie muache mazoea ya kiree.
Eti dar kijijini
 
Nilichoipenda ni kwamba kila mtu anaharaka halafu ni mbabe ila kiuhalisia ni ushenzi tu pia hata ile rafudhi n uongeaji wa kupumbavu ni vijana tu wamtaaani wahuni mavi ila kuna watu wamezaliwa Arusha wanaongea kawaida kabisa na ni wakongwe miaka nenda rudi, kuna watu kaloleni, kijenge sanawari wanaongea kawaida kabisa ila kuna wajaa laaana tu wa huku ngara na mashenzini
 
[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu Pep kuna tuhuma zenu huku[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnashindana kuonyeshana vichaa vyenu[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…