onechromosome
JF-Expert Member
- Jul 10, 2014
- 1,243
- 780
Kwanini unasema hatutakiwi kuhoji ilikuwaje akatobolewa macho?Mi nachoshukuru ni kuwa Makonda anafanya vyema sana...hatutakiwi kuhoji ilikuaje jamaa akatobolewa macho.
Ili linaweza kumtokea yeyote yule despite anything.
Kuhusu ili la gsm ni kweli jamaa wanajitolea sana kwenye jamii mpaka sasa wameshiriki kuokoa uhai wa watoto wengi wa nchi yetu waliokua wana tatizo la vichwa vikubwa.operation ambazo either wazazi wa kitanzania wa watoto hao ingewachukua muda kufanikisha zoezi hilo.
Kwa hili nawashukuru sana.
Haya mengine ya kuconnect Dots nawaachia great thinker wenzangu wadadavue.
Imani inanuzuia kumjadili yule anaetumia uwezo wake kusaidia maskini.
Ni Mungu pekee ndie ajuaye connection ya gsm na fedha zao.
Glory to GOD
Musa Tesha ilikuwa ni Project ya boss wa mambo ya ndani ya nchi.Mbona Mussa Tesha wamembwaga na hawampatii sapoti kama huyu?
Duhh!!Musa Tesha ilikuwa ni Project ya boss wa mambo ya ndani ya nchi.
Is irrelevant now anyway, uchaguzi wa Igunga ulishakwisha, imekula kwake.
Mjanja ni yule aliyekubali kuchomewa banda lake na Wilson Mukama akavuta mpunga kesho tunaoneshwa vidiu ati Cjadema imeingiza magaidi kutoka Afghanistan!!
Ati magaidi wamechoma banda la kuku wakaiacha nyumba na mwenye nyumba salama salimini.
gsm wamempa mke wa makonda gari
Wivuuu unzpozidiii
well said!Mkuu Matola, nimeguswa ila kwenye marketing strategy, kuna mtindo wa ku capitalize on any publicity opportunity, jamaa ametobolewa macho, amepata public sympathy hivyo wacapitalize wa publicity wanapitia hapo hapo!.
Ninayo taarifa ya connection kati ya hii GSM, Msoga na wale Waarabu, kitu ambacho sijaweza ku connect ni mambo mema makubwa wanayofanya kwa mamilioni ya fedha za kusaidia karibu kila kitu, kwanza hayo mamilioni yanatoka wapi and what for?!.
I fear the Greeks especially when they bring gifts!.
Pasco
Mwisho itajulikana tu, dunia haina siri,Huu msaada mbona kama unataka kumziba mtu mdomo,
Sijui kama ni Said au ni wananchi?
Natamani nijue chanzo cha kutobolewa macho na scop [emoji16] [emoji16].
Kwa yeyote anayejua pls help nielewe.
Aaa, sawa mkuu! Marketing ok, waje wafanye na kwangu hapa rangi tatu basi au?Naamini makonda kajuana na hawa watu akiwa bado ni jobless,in short ni marafiki zake,
hawa jamaa wana foundation yao kwa ajili ya kusaidia jamii.
Kampuni kubwa kuwa na foundation kama hiyo ni kawaida sana,wenzetu biashara wanaifanya kisomi,wanajuwa leo wakisaidia jamii,wanatengeza costumer base yao kwa ajili ya product zao,
ni aina fulani ya marketing
labda nchi za scandnavia ndo wameweza,huku kwingine iwe marekani,russia,uk etc wenye hela wana sauti sana kuliko hata hapa kwetu,Wanasiasa kuwa karibu sana wafanyabiashara ni hatari ndo maana nchi za watu imepigwa marufuku.
Tafuta wa kukutoboa na weweDuuuu watu wana bahati nifanyeje nami wanisaidie
GHARIB SAID MOHAMMEdSor jmn kirefu /maaana ya GSM
Kuna sehem za kugusa lakini si hapo. Ngosha alishasema atawalinda kwa nguvu zoteHao nyumbani dukani senta si wamebadilishia gia hewani,na sasa wanatumia jila boss vifupisho vyake vitatu...
Hii purely money laundering cz hao senta,walishataitiwa wakaamua kujitangaza mufilisi ss wanakuja na gia ya misaada!Ila ngosha anawalia timing tu