Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

Hiyo kutokujinyima chakula umeiweka kitaalam sana mkuuπŸ˜† na umeandika Kwa hisia
 
Kuongelea Kilugha penye watu wengi ambao sio wa kabila lako haijakaa poa. Inakuwa kama mnawateta.
 
Kuna mmoja huyo anakata bonge moja la tonge afu anaanza kuligawanya vipande vipande likiwa hapo hapo mkononi πŸ˜‚
Hiyo tunaita dabo difu....



Na kuna triple entry. Ni wewe tu na roho yako.

Uzuri sema vyakula huwa ni vingi na mtu ni lazima ushibe. Ikitokea hamjashiba sawasawa chakula kinapikwa kingine. Na ye yote anakaribishwa kula hata kama ni mpita njia. Karibu Usukumani mkuu. Hutajuta! πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹

 
Bila shaka watakuwa ni ndugu hao
 
Kweli nimeamini Tz hii bila wasukuma haijakamilika asee. Mbona vitu ulivyosema wewe hata waha,wamasai,wambulu nk wako hivyo hata akikosea simu atalazimisha na haelewi Hadi ukate simu?
Manyanza
Wasukuma ni wengi kwahiyo wakifanya kitu wanaonekana kwa wingi sana, wingi wao unawabeba kwenye jambo liwe baya au zuri
 
Halafu hivi kweli kuna mahusiano gani kukosea namba na usukuma!!! Na ni wabishiii kweli🀣🀣
Mimi nimekupigia. Halafu unasema eti nimekosea namba. Ina maana mimi sina akili ama?

Jana tu nimezozana sana na jamaa anasema sijui eti wrong number wakati namba hiyo ilikuwaga ya pisi yangu mwaka mmoja na nusu tu uliopita. Sikutaka kumwelewa kabisa. Na leo nampigia tena mpaka kieleweke dadeki! 😁😁😁
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€hii ipo sana
 
Sawa mkuu, nyie tusemeni tu!
Yote kheri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…