Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

Nimecheka Kwa nguvu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni sawa na CCM na Rushwa
 
Nimecheka hapo kula miwa 😀😀 ila ndiyo upendo wenyewe ,huku ananibeba kidogo, mtakoma kwa wivu😀
Kula miwa/muwa huku natembea kumbe ni ushamba!!😅

Hii tabia ya kula miwa huku natembea huwa naipenda sana na sasa ni musimu wa mapela yameiva tunayala huku tunatembea

KARIBU financial services
 
Shangazi zako wanapenda ile mbaya!
 
Kuna mmoja alikosea namba mwaka wa 3 huu nablock anachange namba akipiga anasema nilikuwa nakusalimu😂😂😂
Mmoja made my day one day. Kakosea namba, alikuwa anampigia Monica, nikamwambia amekosea. Akakata simu, then akapiga tena. Eti "kama wewe sio Monica basi tufanye tu ndio Monica", nilicheka jamani🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…