Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

Kuna siku utaliwa tu.
Kuna siku za shetani, utajikuta mpweke, umejaa nyege na yeye pia anaweza kiwa na hali hiyo, mtakula hakika
 
Wazungu wanaweza,ila ngoz nyeus n ngumu,wazungu huweza Kuja kutalii huku marafik ambao n jinsia tofaut na wakarud bila kulana........Kuna kaka angu alimla demu kutokana na vyumba vyao kuwa Karbu na vilkuwa havjakazwa huu,walkuwa wanapga story mpaka usku na wakienda kulala bado wanaendelea kupga story kila mtu akiwa ktandan kwake,sku moja huyo madam uzalendo ulimshnda alichofanya nkumuulza jamaa kama anazo kondom ,Bahat nzur jamaa alkuwa nazo,kilchofata n kula tunda kmamasihara
 

Mwenye kuanzisha hilo wazo atakuwa na jambo na mwenzake, na mwenzake naye akikubali hilo wazo hao kwa pamoja wanalao jambo, wameamua kuanza kwa staili yakipekee. Hakuna kijana mwenye girlfriend atakubali upangaji wa kiini macho kama huo, hali kadhalika kwa wa-kike vivyo hivyo.
 
Kuna siku utaliwa tu.
Kuna siku za shetani, utajikuta mpweke, umejaa nyege na yeye pia anaweza kiwa na hali hiyo, mtakula hakika
Tutakulana mkuu hakuna namna🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…