Kuna vita kati ya mashoga na tusitaka kuwasikia ipo juu sana hiyoHabarini za mchana wote tunajua hakuna vita dunian kubwa kama vita kati ya hii
Mungu na shetani
kuachana na hii vita hivi kuna vita ngumu nyingine kupigana kama hizi
1) VITA KATI YA MOYO NA AKILI
2)VITA KATI YA UTAFUTAJI WA PESA NA KUMUABUDU MUUMBA
3)VITA KATI YA UAMINIFU NA PESA?
4)VITA KATI YA PESA NA DHAMBI
5)VITA KATI YA MATUMIZI NA UTUNZAJI WA PESA
Kwa aliyewahi kushinda hizi vita atupe ushuhuda alienate kuzishinda na alitumia minutes gani?
kweli kabisa Mungu hashindani na yeyoteHakuna Vita Kati ya Mungu na Shetani
Ukisema hivyo INA maana unampa Shetani uwezo au sifa ambazo zinamfanya apambane na Mungu kitu ambacho si kweli.
Wewe unakiwango kidogo Sana Cha kufikiriKuna vita kati ya mashoga na tusitaka kuwasikia ipo juu sana hiyo
USSR
Vita ipo sehemu yoyote kukiwa na battle kuna vita km isingekuwepo manabii wasingeletwa duniani..Hakuna Vita Kati ya Mungu na Shetani
Ukisema hivyo INA maana unampa Shetani uwezo au sifa ambazo zinamfanya apambane na Mungu kitu ambacho si kweli.
Tunajua ilo lakini hii vita ipo na ndio maana manabii waliletwa kuja kutusaidiakweli kabisa Mungu hashindani na yeyote
Vita ipo sehemu yoyote kukiwa na battle kuna vita km isingekuwepo manabii wasingeletwa
Mi bado sijampa ushindi shetani…by the way hii sio focus ya mtoa madaTunajua ilo lakini hii vita ipo na ndio maana manabii waliletwa kuja kutusaidia
Na ukweli kwa hapa duniani shetani ni mshindi
Hiyo siyo Vita, Manabii hawakuletwa Kwa AJILI ya kufanya Vita na Shetani Bali kumtangaza Mungu WA kweli na watu waachane na ushirikina.Vita ipo sehemu yoyote kukiwa na battle kuna vita km isingekuwepo manabii wasingeletwa duniani..
Ni kweli mungu ni mkubwa lakini according to vitabu vya dini hii vita ilianzia mbinguniHakuna Vita Kati ya Mungu na Shetani
Ukisema hivyo INA maana unampa Shetani uwezo au sifa ambazo zinamfanya apambane na Mungu kitu ambacho si kweli.
Unahisi asingekuwapo shetani manabii wangekuja?Hiyo siyo Vita, Manabii hawakuletwa Kwa AJILI ya kufanya Vita na Shetani Bali kumtangaza Mungu WA kweli na watu waachane na ushirikina.
Binadamu mwenyewe Hana Vita na Shetani kwasababu shetani Hana mamlaka juu Yao isipokuwa ukikubali mwenyewe.
Sasa iweje shetani awe na nguvu ya kumshinda Mungu ikiwa binadamu Tu hawezi kumshinda nguvu?
Vita gani ilianza mbinguni?Ni kweli mungu ni mkubwa lakini according to vitabu vya dini hii vita ilianzia mbinguni
Ndio maana kwa nyakati tofauti mungu amekuwa akiangamiza vizazi.. na hii vita mshindi ataonekana siku ya kiama
Wangekuja kwasababu watu wangetakiwa kujua namna ya kufanya ibada zao na kujua madhara ya Kutofanya mema na faida ya kufanya memaUnahisi asingekuwapo shetani manabii wangekuja?
Lakini unajua shetani according to vitabu vya dini alihasi mbinguni ndio akatupwa uku na amekuwa akigombea wafuasi apate wengi kuliko munguHiyo siyo Vita, Manabii hawakuletwa Kwa AJILI ya kufanya Vita na Shetani Bali kumtangaza Mungu WA kweli na watu waachane na ushirikina.
Binadamu mwenyewe Hana Vita na Shetani kwasababu shetani Hana mamlaka juu Yao isipokuwa ukikubali mwenyewe.
Sasa iweje shetani awe na nguvu ya kumshinda Mungu ikiwa binadamu Tu hawezi kumshinda nguvu?
Ndio maana nikasema haikuwa Vita kwasababu umekiri mwenyewe alitupwa hukuLakini unajua shetani according to vitabu vya dini alihasi mbinguni ndio akatupwa uku na amekuwa akigombea wafuasi apate wengi kuliko mungu