Hivi kuna vita kali duniani kama hizi?

Hivi kuna vita kali duniani kama hizi?

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
2,555
Reaction score
5,202
Habarini za mchana wote tunajua hakuna vita dunian kubwa kama vita kati ya hii
Mungu na shetani

kuachana na hii vita hivi kuna vita ngumu nyingine kupigana kama hizi

1) VITA KATI YA MOYO NA AKILI

2)VITA KATI YA UTAFUTAJI WA PESA NA KUMUABUDU MUUMBA

3)VITA KATI YA UAMINIFU NA PESA?

4)VITA KATI YA PESA NA DHAMBI

5)VITA KATI YA MATUMIZI NA UTUNZAJI WA PESA

Kwa aliyewahi kushinda hizi vita atupe ushuhuda aliewezaje kuzishinda na alitumia mbinu gani?
 
Habarini za mchana wote tunajua hakuna vita dunian kubwa kama vita kati ya hii
Mungu na shetani

kuachana na hii vita hivi kuna vita ngumu nyingine kupigana kama hizi

1) VITA KATI YA MOYO NA AKILI

2)VITA KATI YA UTAFUTAJI WA PESA NA KUMUABUDU MUUMBA

3)VITA KATI YA UAMINIFU NA PESA?

4)VITA KATI YA PESA NA DHAMBI

5)VITA KATI YA MATUMIZI NA UTUNZAJI WA PESA

Kwa aliyewahi kushinda hizi vita atupe ushuhuda alienate kuzishinda na alitumia minutes gani?
Kuna vita kati ya mashoga na tusitaka kuwasikia ipo juu sana hiyo

USSR
 
Hakuna Vita Kati ya Mungu na Shetani

Ukisema hivyo INA maana unampa Shetani uwezo au sifa ambazo zinamfanya apambane na Mungu kitu ambacho si kweli.
Vita ipo sehemu yoyote kukiwa na battle kuna vita km isingekuwepo manabii wasingeletwa duniani..
 
Vita Kati ya serving and life is too short 😭
 
Kuna Vita nyingi ndani yetu wenyewe na nje yetu wenyewe.

Yaani Kuna Vita baina ya wewe na wewe mwenyewe na Kuna Vita baina ya wewe na Mimi.
Nafsi moja yenyewe inagombana na kunaa Vita baina ya nafsi mbili ya kwako na ya kwangu
 
Vita ipo sehemu yoyote kukiwa na battle kuna vita km isingekuwepo manabii wasingeletwa
Tunajua ilo lakini hii vita ipo na ndio maana manabii waliletwa kuja kutusaidia
Na ukweli kwa hapa duniani shetani ni mshindi
Mi bado sijampa ushindi shetani…by the way hii sio focus ya mtoa mada
 
Vita ipo sehemu yoyote kukiwa na battle kuna vita km isingekuwepo manabii wasingeletwa duniani..
Hiyo siyo Vita, Manabii hawakuletwa Kwa AJILI ya kufanya Vita na Shetani Bali kumtangaza Mungu WA kweli na watu waachane na ushirikina.

Binadamu mwenyewe Hana Vita na Shetani kwasababu shetani Hana mamlaka juu Yao isipokuwa ukikubali mwenyewe.

Sasa iweje shetani awe na nguvu ya kumshinda Mungu ikiwa binadamu Tu hawezi kumshinda nguvu?
 
Vita ya baina ulichojiwekea ahadi kukifanya na kutokifanya icho kitu. Hapa ndio nidhamu ama discipline inahitajika. Na ndio Mana ukiwa na nidhamu utaweza kufanya Mambo yako vizuri mno.

Internal discipline is the real treasure wengi hawanao mpaka wafosiwe na external factors like boss,Askari,sheria za serikali,ndoa na Mungu.

The greatest victory to achieve is internal battle not external battle since internal war victory is the eternal while external is temporary
 
Hakuna Vita Kati ya Mungu na Shetani

Ukisema hivyo INA maana unampa Shetani uwezo au sifa ambazo zinamfanya apambane na Mungu kitu ambacho si kweli.
Ni kweli mungu ni mkubwa lakini according to vitabu vya dini hii vita ilianzia mbinguni
Ndio maana kwa nyakati tofauti mungu amekuwa akiangamiza vizazi.. na hii vita mshindi ataonekana siku ya kiama
 
Hiyo siyo Vita, Manabii hawakuletwa Kwa AJILI ya kufanya Vita na Shetani Bali kumtangaza Mungu WA kweli na watu waachane na ushirikina.

Binadamu mwenyewe Hana Vita na Shetani kwasababu shetani Hana mamlaka juu Yao isipokuwa ukikubali mwenyewe.

Sasa iweje shetani awe na nguvu ya kumshinda Mungu ikiwa binadamu Tu hawezi kumshinda nguvu?
Unahisi asingekuwapo shetani manabii wangekuja?
 
Ni kweli mungu ni mkubwa lakini according to vitabu vya dini hii vita ilianzia mbinguni
Ndio maana kwa nyakati tofauti mungu amekuwa akiangamiza vizazi.. na hii vita mshindi ataonekana siku ya kiama
Vita gani ilianza mbinguni?

Kama Mungu alimhukumu shetani au Ibilisi aingie Motoni kwanini Shetani hakubisha na kukataa na kwanini asingezuia Hilo Jambo?
 
Hiyo siyo Vita, Manabii hawakuletwa Kwa AJILI ya kufanya Vita na Shetani Bali kumtangaza Mungu WA kweli na watu waachane na ushirikina.

Binadamu mwenyewe Hana Vita na Shetani kwasababu shetani Hana mamlaka juu Yao isipokuwa ukikubali mwenyewe.

Sasa iweje shetani awe na nguvu ya kumshinda Mungu ikiwa binadamu Tu hawezi kumshinda nguvu?
Lakini unajua shetani according to vitabu vya dini alihasi mbinguni ndio akatupwa uku na amekuwa akigombea wafuasi apate wengi kuliko mungu
 
Ndio maana nikasema haikuwa Vita kwasababu umekiri mwenyewe alitupwa huku
 
Back
Top Bottom