Hivi kuna Wilaya inaipiku Liwale kutotembelewa na Viongozi wa Kitaifa?

Aahahahhaa eeh bhana! Ukisikia Ngende ndio huko...
Ahaaa Mambo ya NGENDE???πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£πŸ€£ KWA NGENDE SIYO??

TUKO PAMOJA NDUGU Dustbin AKA MGOTI MZEE WA RED CARD!πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
MKUU MSALIMIE SEJA hapo halmashauri, na Tengeneza.

Nakuja Jumamosi nitakuwa Hapo NAKIVUBO kea kazi Maalumu, tutafutane MKUU.
 
Liwale cha mtoto, wilaya ya Kibondo inaongoza kwa kutotembelewa na viongozi wa kitaifa, hata wakipita ni juu kwa juu.
 
Umeishiwa. Huna jipya. Pyeeeee
Mbona sasa hivi hujanitukania tena? Unaleta Vita ya Mawe na Mimi wakati unaishi katika Nyumba ya Vioo? Mpuuzi Mmoja Wewe. Hapa ndiyo Makao Makuu ya maneno yote ya Shombo na natamani uendelee Kunitusi ( Kunitukana ) ili uyakoge zaidi.
 
Mbona sasa hivi hujanitukania tena? Unaleta Vita ya Mawe na Mimi wakati unaishi katika Nyumba ya Vioo? Mpuuzi Mmoja Wewe. Hapa ndiyo Makao Makuu ya maneno yote ya Shombo na natamani uendelee Kunitusi ( Kunitukana ) ili uyakoge zaidi.
Sina muda wa kujibizana na mwenye mavi kichwani, mwanaume kama binti
 
Mkuu em usikurupuke elewa kwanza mwandishi kaandika nini na ww umejibu nini?

Ukiachana na barabara ulizozitaja mwandishi wa Uzi kalenga hasa Ziara ya viongozi wakuu wa nchi kutotembelea baadhi ya wilaya..

Sjawahi kusikia ata enzi za JPM au kiongozi mkubwa yeyote afunge safari aende maeneo kama Ilongero, mtinko, sepuka, mkenge, ikiwu, ughandi, minyenye, ikhanoda, kisisi, mwakiti, mdida, msange, etc watu wa maeneo haya wanaishi kama wapo kwenye Dunia yao maji shida, umeme shida, barabara shida kidgo mtinko na ilongero kuna umeme ila maji kipindi cha kiangazi ni shida Leo ww unakuja kuzungumzia barabara za kuunganisha mikoa.

Barabara nyingi zinazounganisha mikoa ni za lami karibu Tanzania nzima. Wew unaejifanya unaijua geography umeshindwa hadi kujua kuwa barabara ya SINGIDA_DoDOMA haipo kwenye wilaya ya singida vijijini ipo wilaya ya manyoni?

Mm naongea kwa experience mkuu mana huo mkoa nimeutembea sana
 
Sikonge ni wilaya kinara Tanzania tangu uhuru 1961.
 
Acha uongo! Dar haina mlima hta mmoja
 
Kuna wilaya huko Mwanza inaitwa KWIMBA nimekaa miaka mitatu pale sijawahi kumuona waziri walk Naibu waziri yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…