Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

Niseme tu uko sawa na zaidi ya sawa hayo mengine ni ya kawaida. Go on boy !!
 
Mkuu hio pressure hapo uliotaja ni ideal, sio rahisi kuwa na hio pressure , mara nyingi utakuta ni 123/68 au 123/82
 
Joh miaka yote hiyo hujawahi kupiga mbunye?? Hujawah kua na genye au niaje??

Mwenzio Poor Brain kashakula mbunye zaidi ya 150, hao ni agemate na waliochini yake, hujahesahia mishangazi isiyo na ifadi kamili (haya ni maelezo yake yeye mwenyewe).
😃😃😃😃🙌🙌🙌🙌 Mkuu sio poa an aiseee
 
Daah hatari sana kweli lazima tulinde brand yetu ya kiume.
 
Huna nguvu za kiume taja mkoa wako na namba yako ya simu nikuunganishe kwa mganga akutibu, malipo ni laki tano ukishapona.
 
ondoa wasiwasi
 
Asante mkuu .. na iyo asali , mdalasini na karafuu nazichanganya au nazifanyaje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…