BADALA YA KUTOA MAPOVU , FANYA Utafiti kidogo , MIMI NI MKAZI WA TANDIKA MWEMBEYANGA , MANISPAA YA TEMEKE INAONGOZWA NA CCM KWA ASILIMIA 100 , JAPO KAZI KUBWA YA MADIWANI HAO NI KUUZA VIWANJA , VIWE VYA WAZI AU HATA NYUMBA ZA WATU ( KURASINI NI MFANO ) AMA VYA MIRADI ! ANGALIA AINA YA WAKAZI WA WILAYA HII , WENGI NI MBUMBUMBU ULIMWENGU UKO HUKU !
Sasa dada MANKA unajua RUZUKU ya CDM inatumikaje???????!!!!!!!hapo hazina bado hamjakabiziwa.
Ndugu zangu naomba kuuliza ni kwanini maeneo mengi hasa vijijini wanaipenda sana ccm ilhali maeneo yanayowazunguka ni maskini wa kutupwa mliotembea mikoani nadhani hali halisi mnaijua yaani kuna maeneo kuanzia tuapate uhuru maji ya bomba hawajawahi kuyaona wala kuyanywa umeme ndio kabisaaa mbingu na ardhi ukienda kwenye huduma za afya ndio usiongee tukija kwenye elimu watu wanasomea chini ya mbuyu au kwa kifupi elimu sio lazima lakini hawa watu wanaipenda ccm balaa ni nini kinachowasukuma kuwa wakereketwa namna hii au ndio kutojitambua?
jf ni raha sana ! Maana unaweza kumtukana hata bosi wa wazazi wako , halafu cha kushangaza , pamoja na boss kujua katukanwa bado ataendelea kuwalipa mshahara wafanyakazi wake bila kinyongo !
Wewe akili yako imejaa pumba, kote ambako kunawabunge wa CCM wewe unawazidi nini wananchi wa huko? Ulishawasikia kuwa wanakuomba msaada? Mbona wewe unayedai haya bado unatembelea kiatu kimelalia upande na mbele kimekaa kama mdomo wa samaki? Arusha, Hai, kunamaendeleo gani hadi kule kwa Mdee? watu wa huko wanaishi kwenye magorofa? Je cdm yako inahela gani ya kuwapa wananchi au kuwaletea miundo mbinu bora? Acha ukuda wa kikaskazini na Ushabiki wa ovyo ovyo. Hutufai katika Taifa hili, Wewe ni Raia MZIGO.
watu mazezeta hawajitambui lazima ccm ipendwe
Hivi ni kwanini watu wengi wasienda shule na masikini wanaipenda sana ccm?
Utafiti unaonyesha watu wengi ambao ni wasomi na wenye kipato cha kati huwa wanapenda mabadiliko.
Swali langu kwanini masikini wengi wanaipenda sana ccm hata kama inanyima watoto wao elimu na huduma za afya?
CCM ni chama cha wanyonge.