Hivi kwanini CCM huwa wanapendwa sehemu zisizokuwa na maendeleo?

Hivi kwanini CCM huwa wanapendwa sehemu zisizokuwa na maendeleo?

BADALA YA KUTOA MAPOVU , FANYA Utafiti kidogo , MIMI NI MKAZI WA TANDIKA MWEMBEYANGA , MANISPAA YA TEMEKE INAONGOZWA NA CCM KWA ASILIMIA 100 , JAPO KAZI KUBWA YA MADIWANI HAO NI KUUZA VIWANJA , VIWE VYA WAZI AU HATA NYUMBA ZA WATU ( KURASINI NI MFANO ) AMA VYA MIRADI ! ANGALIA AINA YA WAKAZI WA WILAYA HII , WENGI NI MBUMBUMBU ULIMWENGU UKO HUKU !

Sasa dada MANKA unajua RUZUKU ya CDM inatumikaje???????!!!!!!!hapo hazina bado hamjakabiziwa.
 
Sasa dada MANKA unajua RUZUKU ya CDM inatumikaje???????!!!!!!!hapo hazina bado hamjakabiziwa.

watetea ccm wengi HAPA JF ni WATOTO , MICHEPUKO AU WAKE WA VIONGOZI , WAKO TAYARI HATA KUDHALILIKA KWA AJILI YA WAUME ZAO ! NIMEKUONYESHA JINSI HALMASHAURI ZA CCM ZILIVYO , WEWE UNAKUJA NA HOJA YA KICHOVU NAMNA HII , HIVI UNAYAJUA MATUMIZI YA RUZUKU YA CCM WEWE ? MAPATO YA VILE VIWANJA VYA SOKA MLIVYOWADHULUMU WANANCHI UNAJUA YAKO WAPI ? UNAFAHAMU KILICHOUA SUKITA ? CCM INA WENYEWE MJOMBA , WEWE HAUMO .
 
tetesi zinadokeza kwamba kuna mpango wa kuwafanya wananchi wawe masikini zaidi ili ccm iendelee kutawala , poor ccm !
 
Ndugu zangu naomba kuuliza ni kwanini maeneo mengi hasa vijijini wanaipenda sana ccm ilhali maeneo yanayowazunguka ni maskini wa kutupwa mliotembea mikoani nadhani hali halisi mnaijua yaani kuna maeneo kuanzia tuapate uhuru maji ya bomba hawajawahi kuyaona wala kuyanywa umeme ndio kabisaaa mbingu na ardhi ukienda kwenye huduma za afya ndio usiongee tukija kwenye elimu watu wanasomea chini ya mbuyu au kwa kifupi elimu sio lazima lakini hawa watu wanaipenda ccm balaa ni nini kinachowasukuma kuwa wakereketwa namna hii au ndio kutojitambua?

umasikini ndiyo tegemeo lao !
 
nitake radhi kwanza. wazazi wangu hawajawahi kuajiriwa wala kulipwa mshahara na mtu yeyote.

jf ni raha sana ! Maana unaweza kumtukana hata bosi wa wazazi wako , halafu cha kushangaza , pamoja na boss kujua katukanwa bado ataendelea kuwalipa mshahara wafanyakazi wake bila kinyongo !
 
1499655_10152106032813535_2062939625_n.jpg
ccm.jpg
 
Wewe akili yako imejaa pumba, kote ambako kunawabunge wa CCM wewe unawazidi nini wananchi wa huko? Ulishawasikia kuwa wanakuomba msaada? Mbona wewe unayedai haya bado unatembelea kiatu kimelalia upande na mbele kimekaa kama mdomo wa samaki? Arusha, Hai, kunamaendeleo gani hadi kule kwa Mdee? watu wa huko wanaishi kwenye magorofa? Je cdm yako inahela gani ya kuwapa wananchi au kuwaletea miundo mbinu bora? Acha ukuda wa kikaskazini na Ushabiki wa ovyo ovyo. Hutufai katika Taifa hili, Wewe ni Raia MZIGO.
 
HIVI YALE MAISHA YA KALENGA au CHALINZE UNAYAONAJE ?
 
Kote kwenye maendeleo?? kunaongozwa na upinzani? Pemba cuf inaongoza majimbo yote maendeleo yakoje?
Musoma chadema nenda kaone barabara zao.
Iringa chadema maendeleo yako wapi?
Kigoma yote kuondoa kwa serukamba n wapinzani maendeleo vp?
kawe chadema msasani bonde la mpunga maendeleo vp?
ubungo kwa mnyika vp wale wauza nguo pale tanesco hayo n maendeleo?
mwanza chadema kuna maendeleo?
 
Hivi ni kwanini watu wengi wasienda shule na masikini wanaipenda sana ccm?
Utafiti unaonyesha watu wengi ambao ni wasomi na wenye kipato cha kati huwa wanapenda mabadiliko.
Swali langu kwanini masikini wengi wanaipenda sana ccm hata kama inanyima watoto wao elimu na huduma za afya?
 
Mbona Maprofesa wengine kama Muhongo, Kapuya, Tibaijuka n.k, na matajiri kuliko wote Tanzania kama Mohamed Dewji na Rostam Aziz, wanaipenda sana CCM? Au labda hawa walikwenda shule kusomea ujinga?
 
Hao maprofessor Lazma waipende CCM uprofesa wao ni wamashaka. Hao Matajiri wengi uliowataja ni wakwepa ushuru. Kwahio lazma wasapot CCm. wanaogopa kufirisiwa.
 
Hivi ni kwanini watu wengi wasienda shule na masikini wanaipenda sana ccm?
Utafiti unaonyesha watu wengi ambao ni wasomi na wenye kipato cha kati huwa wanapenda mabadiliko.
Swali langu kwanini masikini wengi wanaipenda sana ccm hata kama inanyima watoto wao elimu na huduma za afya?

Mimi si masikini, nimesoma na naiamini na kuipenda CCM. CCM haibagui watu kwa makundi, ndio maana hata masikini na wanyonge wanatambulika ndani yake. Katika mfumo wa vyama vingi, kila mtu ana uhuru wa kufanya uchaguzi wa chama anachokiona kinafaa. Kingine ni kuwa si kweli kuwa matajiri wanaoiunga mkono CCM ni wakwepa kodi bali Kama walivyo wengine wengi ni wapenda utulivu na amani. CCM imedumisha hayo kwa muda mrefu pamoja na majirani zake kuwa katika vurugu kila kukicha. Vyama vinavyopendelea wasomi, makabila fulani na dini fulani vina muelekeo wa kibaguzi na kugawa watu Katika makundi vitu ambavyo mara zote hupelekea katika uvunjifu wa amani.
 
Enzi ya Mkapa ilikuwa hakuna kupeleka Maendeleo kwenye Majimbo ya Upinzani. Sasa chukulia walokaa upinzani miaka Kumi ya Mkapa wakoje. Sera za Mkapa za kutoendeleza mikoa pinzani ndio chanzo cha kudidimiza zao la kahawa Kilimanjaro Kagera na Arusha
 
CCM ni chama cha wanyonge.

Kweli chama cha wanyonge, maana kinanyonya watu mpaka wanashindwa kujitambua, kwa manufaa ya wachache, kina tibaijuka, chenge wamefanya wanyonge ndio mrija wao.
 
Tatizo sisi wanyonge na maskini tusio na elimu ndio majority nchi hii.Majibu ya kejeli na matusi yenu mtayapata Oktoba.
 
Back
Top Bottom