Mchele wa Katavi mbona umenyooka na wafaa kupikia!?Ni kweli ila upate mchele mzuri ulioonyooka unaochambuka vizuri linakuwa tamu mm Huwa napenda ulikuwa mrefu 😃
Ila kula hauna ladha ndio maana namix na wa kawaida
Nilikosea kupost sio box ni tiles za ukutaniKwahiyo ulivyopika visamaki vyako mkaficha kwenye box la mbao hapo paka waslle au? Wachoyo nyie!!
😃😃😃Nilikosea kupost huyo anapenda ugomvi na wapishi tutamuwekea pilipili achanganyikiwe 😂😂😂Mdomo wako mpk umefanya mpishi katoa picha zake, na mimi nilikuwa nachukua recipe 😂
Biriani biriani au biriani birianiiiiiiiiiiiJamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
Mie nyumbani ndio mpishi yani mkewangu hapikagi hupika mara mbili tu kwa wiki.Ww jamaa inaonekana mpishi mzuri, hebu nifundishe kupika kabla sijapata mume nisije kuchekesha ukweni 😂
Ngoja tujaribu mpishi tutaleta mrejeshoMchele wa Katavi mbona umenyooka na wafaa kupikia!?
Mie hutumia mchele wa Morogoro au Mpanda kupika Mandhi na Biryani.
Na watoka superb.
Mchele wa wahindi na Wapakistani hauingii viungo sio kama wa kwetu unaingia viungo kirahisi.
Anhaa okayNilikosea kupost sio box ni tiles za ukutani
Nimefuta nimeona nimeweka picha nying bila kujua
😂😂😂acha ukorofiAnhaa okay
Mm mwenyew Bado BadoNaomba nifundishe mahi
Kwel picha ulipiga vibaya. Hapo sasa sawa.😂😂😂acha ukorofi View attachment 2987085
[emoji2][emoji2][emoji2]Nilikosea kupost huyo anapenda ugomvi na wapishi tutamuwekea pilipili achanganyikiwe [emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nyumbani ndio mpishi yani mkewangu hapikagi hupika mara mbili tu kwa wiki.
Pishi gani la mchele unataka kulijua!?
-Wali wa dikodiko.
-Biryani.
-Mandhi.
-Bokoboko.
Pilau na wali wa kawaida najua ni jepesi.
Mm mwenyew Bado Bado
🤣🤣🤣Unanitania bhana we waonekana muOman kabisa ushindwe kuvipika!?Vyote aiseee! Hapo labda kwenye bokoboko kidogo ntajitahidi, najua naweka maji, mchele, chumvi na mafuta kisha nafunika nasubiri viive [emoji1787]
Wana hasira sana😃😃Walaji wana nongwa sana [emoji23]
Em nipe darasa mahi nijue kupika na mimi nna jambo langu mwezi wa 6
Kipo kwenye trendMimi hiyo Biriani hata kuitamani ni kitu sijawahi Cuzoo...
Naonaga ni chakula kipo Overrated sana.
Mkuu,Mie nyumbani ndio mpishi yani mkewangu hapikagi hupika mara mbili tu kwa wiki.
Pishi gani la mchele unataka kulijua!?
-Wali wa dikodiko.
-Biryani.
-Mandhi.
-Bokoboko.
Pilau na wali wa kawaida najua ni jepesi.
Long time aisee haujambo?Ahhaahaha kipenda roho