Mchele wa Katavi mbona umenyooka na wafaa kupikia!?Ni kweli ila upate mchele mzuri ulioonyooka unaochambuka vizuri linakuwa tamu mm Huwa napenda ulikuwa mrefu 😃
Ila kula hauna ladha ndio maana namix na wa kawaida
Mie hutumia mchele wa Morogoro au Mpanda kupika Mandhi na Biryani.
Na watoka superb.
Mchele wa wahindi na Wapakistani hauingii viungo sio kama wa kwetu unaingia viungo kirahisi.