Hivi kwanini mnapenda Biriani? Sijawahi kupenda Biriani

Hivi kwanini mnapenda Biriani? Sijawahi kupenda Biriani

Ni kweli ila upate mchele mzuri ulioonyooka unaochambuka vizuri linakuwa tamu mm Huwa napenda ulikuwa mrefu 😃
Ila kula hauna ladha ndio maana namix na wa kawaida
Mchele wa Katavi mbona umenyooka na wafaa kupikia!?
Mie hutumia mchele wa Morogoro au Mpanda kupika Mandhi na Biryani.
Na watoka superb.
Mchele wa wahindi na Wapakistani hauingii viungo sio kama wa kwetu unaingia viungo kirahisi.
 
Mdomo wako mpk umefanya mpishi katoa picha zake, na mimi nilikuwa nachukua recipe 😂
😃😃😃Nilikosea kupost huyo anapenda ugomvi na wapishi tutamuwekea pilipili achanganyikiwe 😂😂😂
 
Ww jamaa inaonekana mpishi mzuri, hebu nifundishe kupika kabla sijapata mume nisije kuchekesha ukweni 😂
Mie nyumbani ndio mpishi yani mkewangu hapikagi hupika mara mbili tu kwa wiki.
Pishi gani la mchele unataka kulijua!?
-Wali wa dikodiko.
-Biryani.
-Mandhi.
-Bokoboko.
Pilau na wali wa kawaida najua ni jepesi.
 
Mchele wa Katavi mbona umenyooka na wafaa kupikia!?
Mie hutumia mchele wa Morogoro au Mpanda kupika Mandhi na Biryani.
Na watoka superb.
Mchele wa wahindi na Wapakistani hauingii viungo sio kama wa kwetu unaingia viungo kirahisi.
Ngoja tujaribu mpishi tutaleta mrejesho
 
Anhaa okay
😂😂😂acha ukorofi
IMG_20240510_194011.jpg
 
[emoji2][emoji2][emoji2]Nilikosea kupost huyo anapenda ugomvi na wapishi tutamuwekea pilipili achanganyikiwe [emoji23][emoji23][emoji23]

Walaji wana nongwa sana [emoji23]
Em nipe darasa mahi nijue kupika na mimi nna jambo langu mwezi wa 6
 
Mie nyumbani ndio mpishi yani mkewangu hapikagi hupika mara mbili tu kwa wiki.
Pishi gani la mchele unataka kulijua!?
-Wali wa dikodiko.
-Biryani.
-Mandhi.
-Bokoboko.
Pilau na wali wa kawaida najua ni jepesi.

Vyote aiseee! Hapo labda kwenye bokoboko kidogo ntajitahidi, najua naweka maji, mchele, chumvi na mafuta kisha nafunika nasubiri viive [emoji1787]
 
Vyote aiseee! Hapo labda kwenye bokoboko kidogo ntajitahidi, najua naweka maji, mchele, chumvi na mafuta kisha nafunika nasubiri viive [emoji1787]
🤣🤣🤣Unanitania bhana we waonekana muOman kabisa ushindwe kuvipika!?
 
Mie nyumbani ndio mpishi yani mkewangu hapikagi hupika mara mbili tu kwa wiki.
Pishi gani la mchele unataka kulijua!?
-Wali wa dikodiko.
-Biryani.
-Mandhi.
-Bokoboko.
Pilau na wali wa kawaida najua ni jepesi.
Mkuu,
Nyie mna muda Sanaa mpaka wa kupika pika😊😊
 
Back
Top Bottom