Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Hakuna WW1 Wala WW2 ni wakubwa waliamua kujikuza tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wewe ndio hujitambui na kizazi chako....ninajivunia uafrika wangu na ninafurahi kuzungukwa na waafrika wenzangu.
Tujitahidi kuziponya akili na fikra zetu toka utumwa wa wakoloni.
Wewe mwenzetu ni mzungu??.
Duh! Sisi labda itakuwa ni labour force yao !! Au ??!
Umeniacha hai kama nimepigwa nuclear na Putin
Zina nini cha maana,?Nani anaziogopa?Hazimiliki uchumi,Hazimiliki lugha ,hazimiki gesi,Hazimiliki mafuta,haziliki maji,Hazimiliki ardhi,hazina viwanda,hazina silaha na zaidi hazimiliki texhnolojia ya kisasa,Hazimiliki pesa .Kwa ujumla hata watu haziwamiliki maana sisi sote ni vibarua wa hao wakubwa wa Washington,London ,Berlin ,Moscow ,Tokyo,Beijing,India nk.Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia. Matokeo yake tumeyaona. Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi. Sasa Sisi nchi za Africa tutatetewa na NATO au ndio basi.
Basi na wewe ungejiweka humo kwa kusema "Sisi Waafrika".Mimi sio mzungu wala muafrika japo naishi na nimezaliwa Africa, bali hata kama ningalikuwa ni Muafrika ukweli ungebaki huohuo kwamba hatujitambui--- always truth will set you free.
Tunalima mazao sisi wao wanapanga bei ya kununua ! Madini tunachimba bei wanapanga wao ! Daah! The world is not fair !!Zina nini cha maana,?Nani anaziogopa?Hazimiliki uchumi,Hazimiliki lugha ,hazimiki gesi,Hazimiliki mafuta,haziliki maji,Hazimiliki ardhi,hazina viwanda,hazina silaha na zaidi hazimiliki texhnolojia ya kisasa,Hazimiliki pesa .Kwa ujumla hata watu haziwamiliki maana sisi sote ni vibarua wa hao wakubwa wa Washington,London ,Berlin ,Moscow ,Tokyo,Beijing,India nk.
IPO ! Na inaweza ikaanza hivi hivi kimchezomchezo, Russia anaishambulia Ukraine kwa makombora na ndege za kivita ! Ikitokea kombora moja kwa bahati mbaya likaangukia kwenye moja ya nchi za NATO ambazo ziko hapohapo karibu je NATO watalalamika tu au vipi ? Maana wakijibu tu Putin alishawaambia watu wake wa nuclear wawe standby kwa lolote linaloweza kutokea !!Hakuna kitu inaitwa WWIII
Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia. Matokeo yake tumeyaona. Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi. Sasa Sisi nchi za Africa tutatetewa na NATO au ndio basi.
Ndoto za mchanaChadema ikichukua nchi 2025 kama tunavyotarajia nitashauri tujiondoe AU
Huku Africa ni mizimu pekee inatusaidia maana hatuna mtetezi tenaUkraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia. Matokeo yake tumeyaona. Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi. Sasa Sisi nchi za Africa tutatetewa na NATO au ndio basi.
Tuna weza ushirikina, uzizi, uvivu, umalaya, uongo na utapeliAfrika hatuna chochote cha kujivunia.
Tunaishi kwa kutegemea kila kitu kutoka kwa wazungu.
Hatuna mavazi, elimu, dini, matibabu, aina ya utawala , teknolojia wala chochote tunachoweza sema ni chetu.
Kila kitu tumeiga hivyo hatuwezi changia kitu kwenye hizo jumuia za kimataifa.
Ndio upofu huu naouona na ubinafsi pia! Huwa nawaangalia viongozi wanapotoa tuvimuchango, wakisifiwa na MC yaani masikini wanaamka nakushangilia na wimbo wa kumsifu anatungiwa papo hapo! Kuwa kiongozi ni MUNGU amekufanya daraja ili wengine wapite nahumo humo MUNGU amekutengea vyakwako! Unaowaongoza wakiishi vizuri hawatakulaumu hata kukitokea mushkeli watasimama na wewe! Sasa hawa viongozi wetu wao kutwa nikusimama na waganga, dharau , kujikweza na kufuru za kutisha! MUNGU lazima awaache!Bado tinajilimbizia kwanza ili watoto na wajukuu wasipate tabu, maana sisi tinazaa sana walemavu !!!
Afu kuna wapumbavu watakwambia kuwa duniani kuna democracy na Baba wa democracy ni USA na EU....hapa ndipo natambua ni sahihi kabisa tuitwe nyani maana si kwa kujipendekeza huko[emoji28]Tunalima mazao sisi wao wanapanga bei ya kununua ! Madini tunachimba bei wanapanga wao ! Daah! The world is not fair !!
Ukraine ina vinu vya nyuklia zaidi ya 20Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia. Matokeo yake tumeyaona. Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi. Sasa Sisi nchi za Africa tutatetewa na NATO au ndio basi.
Ujiunge na nato utachangia kitu gani?Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia. Matokeo yake tumeyaona. Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi. Sasa Sisi nchi za Africa tutatetewa na NATO au ndio basi.