Hivi kwanini nchi za Afrika haziruhusiwi kujiunga na NATO, sasa vita ya WW3 itakuwaje au kuna African Union army?

Labda wewe ndio hujitambui na kizazi chako....ninajivunia uafrika wangu na ninafurahi kuzungukwa na waafrika wenzangu.

Tujitahidi kuziponya akili na fikra zetu toka utumwa wa wakoloni.

Kwani mimi ni muafrika??
 
Duh! Sisi labda itakuwa ni labour force yao !! Au ??!

Hapana nyie sio labour force yao japo mmejiweka kuwa labour force yao, lakini ipo nafasi ya kujitambua iwapo mtajua kuwa hamjitambui na mjibadilishe kuelekea kujitambua.
 
Umeniacha hai kama nimepigwa nuclear na Putin

Pole sana, lakini ukweli unauma na pia ukweli humuweka mtu huru isitoshe ukweli ndio njia ya mwanzo ya mtu kujibadilisha kiakili.
 
Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia. Matokeo yake tumeyaona. Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi. Sasa Sisi nchi za Africa tutatetewa na NATO au ndio basi.
Zina nini cha maana,?Nani anaziogopa?Hazimiliki uchumi,Hazimiliki lugha ,hazimiki gesi,Hazimiliki mafuta,haziliki maji,Hazimiliki ardhi,hazina viwanda,hazina silaha na zaidi hazimiliki texhnolojia ya kisasa,Hazimiliki pesa .Kwa ujumla hata watu haziwamiliki maana sisi sote ni vibarua wa hao wakubwa wa Washington,London ,Berlin ,Moscow ,Tokyo,Beijing,India nk.
 
Mimi sio mzungu wala muafrika japo naishi na nimezaliwa Africa, bali hata kama ningalikuwa ni Muafrika ukweli ungebaki huohuo kwamba hatujitambui--- always truth will set you free.
Basi na wewe ungejiweka humo kwa kusema "Sisi Waafrika".
 
Zina nini cha maana,?Nani anaziogopa?Hazimiliki uchumi,Hazimiliki lugha ,hazimiki gesi,Hazimiliki mafuta,haziliki maji,Hazimiliki ardhi,hazina viwanda,hazina silaha na zaidi hazimiliki texhnolojia ya kisasa,Hazimiliki pesa .Kwa ujumla hata watu haziwamiliki maana sisi sote ni vibarua wa hao wakubwa wa Washington,London ,Berlin ,Moscow ,Tokyo,Beijing,India nk.
Tunalima mazao sisi wao wanapanga bei ya kununua ! Madini tunachimba bei wanapanga wao ! Daah! The world is not fair !!
 
Hakuna kitu inaitwa WWIII
IPO ! Na inaweza ikaanza hivi hivi kimchezomchezo, Russia anaishambulia Ukraine kwa makombora na ndege za kivita ! Ikitokea kombora moja kwa bahati mbaya likaangukia kwenye moja ya nchi za NATO ambazo ziko hapohapo karibu je NATO watalalamika tu au vipi ? Maana wakijibu tu Putin alishawaambia watu wake wa nuclear wawe standby kwa lolote linaloweza kutokea !!
 
Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia. Matokeo yake tumeyaona. Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi. Sasa Sisi nchi za Africa tutatetewa na NATO au ndio basi.

Nyie mlishapigwaga na nyuklia ya akili kipindi cha ukoloni. Mmebakia kushabikia tu. Maana hamna mnalolijua
 
MBONA UNALETA PUMBA HUMU, KWANI ALIYESAIDIA KUMNG'OA GHADAFI MADARAKANI NI NANI KAMA SIO NATO. INAMAANA HUJUI KAMA LIBYA IPO AFRICA?

KWA KIFUPI AFRICA IPO NATO. NA NATO LAZMA WASAIDIE AFRICA.
 
Afrika hatuna chochote cha kujivunia.

Tunaishi kwa kutegemea kila kitu kutoka kwa wazungu.

Hatuna mavazi, elimu, dini, matibabu, aina ya utawala , teknolojia wala chochote tunachoweza sema ni chetu.

Kila kitu tumeiga hivyo hatuwezi changia kitu kwenye hizo jumuia za kimataifa.
 
Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia. Matokeo yake tumeyaona. Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi. Sasa Sisi nchi za Africa tutatetewa na NATO au ndio basi.
Huku Africa ni mizimu pekee inatusaidia maana hatuna mtetezi tena
 
Afrika hatuna chochote cha kujivunia.

Tunaishi kwa kutegemea kila kitu kutoka kwa wazungu.

Hatuna mavazi, elimu, dini, matibabu, aina ya utawala , teknolojia wala chochote tunachoweza sema ni chetu.

Kila kitu tumeiga hivyo hatuwezi changia kitu kwenye hizo jumuia za kimataifa.
Tuna weza ushirikina, uzizi, uvivu, umalaya, uongo na utapeli
 
Bado tinajilimbizia kwanza ili watoto na wajukuu wasipate tabu, maana sisi tinazaa sana walemavu !!!
Ndio upofu huu naouona na ubinafsi pia! Huwa nawaangalia viongozi wanapotoa tuvimuchango, wakisifiwa na MC yaani masikini wanaamka nakushangilia na wimbo wa kumsifu anatungiwa papo hapo! Kuwa kiongozi ni MUNGU amekufanya daraja ili wengine wapite nahumo humo MUNGU amekutengea vyakwako! Unaowaongoza wakiishi vizuri hawatakulaumu hata kukitokea mushkeli watasimama na wewe! Sasa hawa viongozi wetu wao kutwa nikusimama na waganga, dharau , kujikweza na kufuru za kutisha! MUNGU lazima awaache!
 
Tunalima mazao sisi wao wanapanga bei ya kununua ! Madini tunachimba bei wanapanga wao ! Daah! The world is not fair !!
Afu kuna wapumbavu watakwambia kuwa duniani kuna democracy na Baba wa democracy ni USA na EU....hapa ndipo natambua ni sahihi kabisa tuitwe nyani maana si kwa kujipendekeza huko[emoji28]
 
Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia. Matokeo yake tumeyaona. Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi. Sasa Sisi nchi za Africa tutatetewa na NATO au ndio basi.
Ukraine ina vinu vya nyuklia zaidi ya 20
 
Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia. Matokeo yake tumeyaona. Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi. Sasa Sisi nchi za Africa tutatetewa na NATO au ndio basi.
Ujiunge na nato utachangia kitu gani?
 
Back
Top Bottom