Hivi kwanini ukienda bar na mtu wa jinsia ya tofauti(me)unapata huduma mbovu?

Yeah Jo...kuna muda nimeona ID yako imeambatanishwa na mdada mrembooo aliyevalia gauni ya kitenge nadhifu...

Sasa sijui ni mauzauza za hii app ya JF!!!
Hahahah hiyo ni ID ya mtu mwingine anaitwa Joannah

Umenistua ujue nikajua kuna mtu amehack account yangu(in Mange's voice)
 
Sasa bora wahudumu wa bar kamatwa na trafiki mwanamke huku upo na Mrs πŸ€ΈπŸ’
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] afadhali umeuliza mimi kuna siku niliongea nikasutwa hatari

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Unajua vile naijua ID ya Joanah haiwezi weka avatar ya mapigo yale...

Nikasema ngoja nimchokoze kwa kuweka avatar mpya...kumbe nimepotea njia mazima πŸ˜‚πŸ˜‚ uchokozi umebuma...
 
J acha basi mambo ya ajabu..
Hujwahi kwenda bar kweli!!.

Hakika leo nimechukia Kwa kiwango kizito mnoπŸ˜“πŸ˜“

Nimekumiss pia Joana wangu..unaendeleaje mama

Mmehudumiwa na ke bila shaka. Wahudumu wakiona me peke yake anapata first class service na customer service ya kipekee, super! Ole wako uwe na ke sasa

Hali kadhalika mdada ukihudumiwa na mkaka unapata treat nzuri, ila uwe na me sasa

Huyo Joanah achana nae, tutaenda nae wote apate experience ya worst customer service
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…