Hivi kwanini ukienda bar na mtu wa jinsia ya tofauti(me)unapata huduma mbovu?

Hivi kwanini ukienda bar na mtu wa jinsia ya tofauti(me)unapata huduma mbovu?

Yeah Jo...kuna muda nimeona ID yako imeambatanishwa na mdada mrembooo aliyevalia gauni ya kitenge nadhifu...

Sasa sijui ni mauzauza za hii app ya JF!!!
Hahahah hiyo ni ID ya mtu mwingine anaitwa Joannah

Umenistua ujue nikajua kuna mtu amehack account yangu(in Mange's voice)
 
hata sisi wanaume tukienda bar peke yetu bila kampani ya mwanamke huwa tunahudumiwa kwa uchangamfu sana na wahudumu wa kike.

siku ukitaka kuona vituko nenda bar na mke wako/girlfriend au mwanamke yoyote tu. kaa nae mezani halafu muwe mnapiga story zenu kwa namna ya mahaba.

muhudumu yuleyule wa kike ambaye ukiwa peke yako huwa anakudumia kwa ucheshi na bashasha, siku hiyo atakuhudumia kwa kisirani sana. atakuwa very slow ku-serve meza yenu, pia atakuwa na majibu ya mkato kwa kila swali utakalomuuliza. ni full vituko.
Sasa bora wahudumu wa bar kamatwa na trafiki mwanamke huku upo na Mrs 🤸🐒
 
J acha basi mambo ya ajabu..
Hujwahi kwenda bar kweli!!.

Hakika leo nimechukia Kwa kiwango kizito mno😓😓

Nimekumiss pia Joana wangu..unaendeleaje mama

Mmehudumiwa na ke bila shaka. Wahudumu wakiona me peke yake anapata first class service na customer service ya kipekee, super! Ole wako uwe na ke sasa

Hali kadhalika mdada ukihudumiwa na mkaka unapata treat nzuri, ila uwe na me sasa

Huyo Joanah achana nae, tutaenda nae wote apate experience ya worst customer service
 
Back
Top Bottom