Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Hahahah hiyo ni ID ya mtu mwingine anaitwa JoannahYeah Jo...kuna muda nimeona ID yako imeambatanishwa na mdada mrembooo aliyevalia gauni ya kitenge nadhifu...
Sasa sijui ni mauzauza za hii app ya JF!!!
Umenistua ujue nikajua kuna mtu amehack account yangu(in Mange's voice)