umefanya utafiti kwenye nchi ngapi au mikoa mingapi?Kama kichwa cha maada hapo juu kisemavyo.Ni kwanini wanawake hawana vigugumizi kama wanaume na hata kama atakua nacho basi hakiwi kikubwa kama cha mwanaume lakini pia hata hao wenye nacho ni wachache sana kulinganisha na wanaume?
Uuuuuko....ko....ko waa.....pi niii....je..jee.. ku..ku..ku..salimu??Mm ni mhaga ninachokigugumizi kadiri navyokua kinapungua
Manyunyu kuwadondokea kipindi hawajaanza kuongea (tuliaminishwa)Source ya kigugumizi ni nini hasa? Tukijua hilo, tutapata majibu ya swali lako.
Kama kichwa cha maada hapo juu kisemavyo.Ni kwanini wanawake hawana vigugumizi kama wanaume na hata kama atakua nacho basi hakiwi kikubwa kama cha mwanaume lakini pia hata hao wenye nacho ni wachache sana kulinganisha na wanaume?

Secre cree creee taaaaaa taaary birdNjiani nilikutana na Mzee Kima.. Kimario, alikuwa anakwenda kuuza ndi.. ndizi kule boma ng'o.. ng'ombe.
Sesese see Seran, n n na na kikikijana wangu momo moneta monetary Monetary doctor njoe eeeni hapa.
ni.....ni..ni....ko......ge iiiiiiii.......taUuuuuko....ko....ko waa.....pi niii....je..jee.. ku..ku..ku..salimu??
M md mdogo wa angu ach haha kun nnitania bhan na!Secre cree creee taaaaaa taaary bird