Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Unaona! Nipe wanao niwape tution hii tutoe kizazi chenye iq kubwašAaah mimi sijawahi kukudharau, ndio maana mke mwenzaš¤£š¤£
Yaani madini tupu, kichwa iko njema.
Unaona! Nipe wanao niwape tution hii tutoe kizazi chenye iq kubwašAaah mimi sijawahi kukudharau, ndio maana mke mwenzaš¤£š¤£
Yaani madini tupu, kichwa iko njema.
Mmh so kweliAlafu kwann kigugumizi ukiongea kiingereza kinapotea
Hahahaha kwanini mkuu? Nampa hi mchiziUna dhambi kinoma š¹š¹
Hivi mwanangu ni kweli mna nguvu au huwa wanaturusha tu ili tusiwatanie?ni.....ni..ni....ko......ge iiiiiiii.......ta
Khaa Wee dada? Umefanyia wapi research?Kwanza la utimamu moja, ushawahi kuona mwanamke ana kikoromea kimetokeza nje kama baadhi ya wanaume? Tena wanaume wembamba ndio sana..
Uwe unanipashia maji ya kuoga Kila asubuhi, la sivyo nitakuwa na kigugumizi kisa baridi.Vigugumizi mnapata kwa sababu ya uongo uongo mwingi na kaumalaaya mzee wanguš
Geita sehemu gani mkuu.ni.....ni..ni....ko......ge iiiiiiii.......ta
Huwa nawakubali wale wazee wa kichaga wanaokatakata maeneo waongeapo.Ni ni nita aaaaah aaaaaaaa kupasua
kuhusu nguvu tunazo wengi niliowaona wananguvu hizo zingine ni uongo tuHivi mwanangu ni kweli mna nguvu au huwa wanaturusha tu ili tusiwatanie?
Afu eti ukiwa unaongea nikifunika ungo mbele yako huongei na unaweza kata moto.?
katoro-mtaa wa afyaGeita sehemu gani mkuu.
Usijali ntakukanda mpaka kiondoke kabisaUwe unanipashia maji ya kuoga Kila asubuhi, la sivyo nitakuwa na kigugumizi kisa baridi.
Oh vizuri, juzi nilikuwa hapo mitaa ya CCMkatoro-mtaa wa afya
Nakupendelea.Usijali ntakukanda mpaka kiondoke kabisa
Amina sanašNakupendelea.
Kweee.. kweee... kweli... mmmm.. mmm... mkuu...!Kama kichwa cha maada hapo juu kisemavyo.Ni kwanini wanawake hawana vigugumizi kama wanaume na hata kama atakua nacho basi hakiwi kikubwa kama cha mwanaume lakini pia hata hao wenye nacho ni wachache sana kulinganisha na wanaume?
Kumbe humu ktr tumo wengi....Oh vizuri, juzi nilikuwa hapo mitaa ya CCM
Wewe uko mitaa gani mkuu?Kumbe humu ktr tumo wengi....
stamico... mkuu!Wewe uko mitaa gani mkuu?
kama hutaki kuulizwa kitu usiwe unaingia/kuchangia jamii forum, hapa utaulizwa kama kitu hakiko clear.Sio mikoa mingapo bali nchi nzima iko hivyo labda kama unataka kuanzisha ligi nyingine