Hivi kwanini watu wengi wenye vigugumizi ni wanaume tu?

Hivi kwanini watu wengi wenye vigugumizi ni wanaume tu?

Hakika , hata mimi kwenye makuzi yangu sijawahi kuona pisi yenye kigugumizi ni wana tu.

Na tuliaminigi ati wana miguvu kwelikweli na mikono wanairusha sio poa.
Mola mlezi ni mjuvi wa vyote! Mama ndiye mlezi especially at early childhood. Waepushwe na hilo pepo maana familia nzima kama sio taifa litakuwa hivyo - watoto watafanana naye!
 
Kama kichwa cha maada hapo juu kisemavyo.Ni kwanini wanawake hawana vigugumizi kama wanaume na hata kama atakua nacho basi hakiwi kikubwa kama cha mwanaume lakini pia hata hao wenye nacho ni wachache sana kulinganisha na wanaume?
Wapo mkuu wanawake wenye vigugumizi vikubwa!
 
Kama kichwa cha maada hapo juu kisemavyo.Ni kwanini wanawake hawana vigugumizi kama wanaume na hata kama atakua nacho basi hakiwi kikubwa kama cha mwanaume lakini pia hata hao wenye nacho ni wachache sana kulinganisha na wanaume?
Nilidhani utauliza
Kwann mwanaume mwenye kigugumizi akitongoza mwanamke kigugumizi kinapotea?
Ila akiongea na wanaume wenzie ndy anajifanya kigugumizi kinazidi.
 
Nimesoma sana mimi mke mkubwa mlikuwa mnanidharau, cheki madini hayo😎
Aaah mimi sijawahi kukudharau, ndio maana mke mwenza🤣🤣
Yaani madini tupu, kichwa iko njema.
 
Back
Top Bottom