Hivi kwanini watu wengi wenye vigugumizi ni wanaume tu?

Hivi kwanini watu wengi wenye vigugumizi ni wanaume tu?

1.Crazy Gk anatatizo hilo ila akiimba kigugumizi kinayeyuka.
2. Ricardo momo wa Wasafi, yule sibling wa Diamond ana kigugumizi.
Ila ame-ki-brand imekuwa talking style.
3. Ukijitambua una kigugumizi ongea taratibu....Ukiongea haraka kigugumizi kinakuwa severe.
4. Diamond anakigugumizi ila kimekuwa soften na hela.
5. Idd Nado winger wa azam kapona kigugumizi
 
Hakika , hata mimi kwenye makuzi yangu sijawahi kuona pisi yenye kigugumizi ni wana tu.

Na tuliaminigi ati wana miguvu kwelikweli na mikono wanairusha sio poa.
Mimi nina Binti yangu ana miaka 7 daeasa 1 anacho kikubwa TU, pacha wake wa kiume Hana na Kuna Binti jirani yetu pisi ya hatari yupo kidato cha 2 anacho kikali sana ni maumbile hayachagui jinsi nadhani hivyo
 
Back
Top Bottom