Modus operandi ya kushughulika na watu wao wa karibu imekaa vizuri, next time mama yake. Itawafanya wajue ikitokea vita hata ndugu zao watakufaMajira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini
Nina hakika walishakagua entries zote na kujiridhisha kwamba muhuni hajazitumia.. Ila kwakuwa hawaaminiani "wakadhani" muhuni kapitishwa njia ya panya..
Na kule nyumbani kwa dadaake walikovamia kumbe inasemekana kulikuwa na concealed cameras hivyo wamejulikana wote
Only professionals can act professionally... Wamebug big time?
Roaming ama?Siku hizi unaweza kutumia your local number abroad na mtu akakupigia akakupata.. Last month nilikuwa Juba na nilikuwa napigiwa kwa number yangu ya Tz na napokea
Ati maafisa utekaji๐Kwamba Polepole aliwaingiza choo kibovu cha kike maafisa utekaji?
Wewe mbwa inaelekea Polepole kakukomesha leoTatizo lenu ni Udini Mbwa nyie..
Magu aliua, alitesa alizuia mikutano ya siasa na alifanya kila aina ya ukatili ila hatukuona mlolongo wa matamko na udhalilishaji wa kiwango hiki cha sasa kwa Rais.
Hii Nchi sio ya kanisa wala msikiti bali sio ya sinagogi. ni ya watanzania wote bara na visiwani. Wakati Magu anafanya hayo yote Polepole alikuwa mlamba viatu mzuri sana. leo kiherehere cha kukemea aliyoyaasisi mwenyewe anakitolea wapi?
Na nyie manyumbu mnayempamba kwa hayo matamko yake ya kibangi bangi hamkumbuki ni yeye kipindi hicho aliziba pamba masikio na akatamba kwa kauli za kebehi hata akaitwa mzee wa mavieite? Ila Leo mnamuona mpakwa mafuta? Kwanini asikemee kipindi kile anakemea le? kama sio ajenda ya Udini ni niniยฟ Chokochoko mnazozianzisha kwa kisingizio cha uhuru wa kusema, demokrasia na ujinga gani sijui twajua nini mnachokilenga. Uzuri vyombo vya ulinzi pia viko macho. kenge yeyote atakayekuwa sababu ya kuhatarisha usalama wa Taifa hili ashughulikiwe ipasavyo. TUMECHOKA NA UPUUZI WENU.
Hapa uko sahihi kbsa mkuuKuna kitabu nilikuwa nasoma Cha Jay z kinaitwa Decoded.
Kilinibadilisha Sana mtazamo kuhusu Polisi , Magereza jeshini n.k.
Alisema kuwa yeye binafsi alikuwa anajua kuwa hayupo katika rada za maaskari Ila alikuwa yupo katika rada za Serikali ambayo hawakupenda kuona black wanafanikiwa kirahisi.
Kwahiyo alitumia nguvu kubwa kwenda aganist na serikali ili kuzikwepa rada zao ikiwemo kutojulikana anakaa wapi, anaendesha Gari gani wapi kawekeza n.k
Anasema hawa polisi waliokuwa wakija kumkamata aligundua hata akipanic akawapiga risasi atakuwa haja solve tatizo kwakuwa in deep down polisi wanakuwa wametumwa na Government kwahiyo the really enemy sio polisi ni government.
Akamalizia kwakusema I don't hate armies or military but all I know most of people joins in military because had no better option in life .
Hivyo hata hao waliovamia kwa Dada yake pole pole yawezekana wao wakawa hata hawana wanachoelewa Ila ni kutiii maelekezo wanayopewa na Kama anavyosema Jay z kuwa most of People joins in military because had no better option in life
Noted rafiki kakini nilichokigundua bongo ni watu kupenda kukaa ofisini na kusubiri taarifa za watendaji wa chini.. Hii tabia imeligharimu na kuliumiza sana taifaUnajua Tanzania iko na mfumo wa ukuta. Yaani leo wewe Mshana Jr ukiteuliwa, ujue utapokea info ambazo zimechujwa, yaani inakuwa hivi, mfano, watu wametekwa wewe unaletewa ushahidi na watu ambao umeambiwa wewe ni kiongozi utapokea info hapa na pale, so hao watu wanaamua kukuletea info za ukweli mwanzo then ukishawaamini wanaanza kukuletea za uongo ili waku control na hapo ndiyo viongozi wetu wa kisiasa wana feli
Tukusapoti wewe na wahuni wenzako kina Polepole au? ๐๐Duh tukubali tuu tuko under worse dictatorship than Iddi Amin, ukiongea tuu Ushungi asipopenda ni kifo, kesi au kupotezwa , no one safe hata machawa siku mkibugi step 3 K zinawahusu, acheni kusupport huu ushenzi wa Ushungi unaoendelea mnaharibu Taifa
AMANI haiombewi. AMANI ni matokeo ya kutenda HAKI, kutendeana kwa HAKI...Nilichogundua tuiombee nchi yetu Amani idumu milele .
Ingekua vyema sana hao watu wakaanikwa ili tuzidi kuona ubaya na unyama wao. Kuficha hzo sura zao ni kunajisi maamuzi ya pole polwMajira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini
Nina hakika walishakagua entries zote na kujiridhisha kwamba muhuni hajazitumia.. Ila kwakuwa hawaaminiani "wakadhani" muhuni kapitishwa njia ya panya..
Na kule nyumbani kwa dadaake walikovamia kumbe inasemekana kulikuwa na concealed cameras hivyo wamejulikana wote
Only professionals can act professionally... Wamebug big time?
Huyo jamaa falah sana, kuna interview moja anaulizwa ulikua unaomba rushwa yโa ngono. Akajibu, niliwaomba au walinipa? ๐น๐น๐นHata wahuni huzeeka! Ukija kumbana vizuri atakwambia yuko kiroho๐๐คช
Sana mkuu, sijui tunatokaje hapaNoted rafiki kakini nilichokigundua bongo ni watu kupenda kukaa ofisini na kusubiri taarifa za watendaji wa chini.. Hii tabia imeligharimu na kuliumiza sana taifa
Magufulo ndio alitufikisha hapa.Sema CCM ya sasa inaabisha mpaka naona aibu kujitambulisha kama mwana CCM, yaani hatuamini ktk ushindani wa hoja bali kuuana na kuteka a na kutishiana
Haya ndio madhara ya kukaa jf na kuamini una jicho la kuona mbali kuliko serikali.Majira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini
Nina hakika walishakagua entries zote na kujiridhisha kwamba muhuni hajazitumia.. Ila kwakuwa hawaaminiani "wakadhani" muhuni kapitishwa njia ya panya..
Na kule nyumbani kwa dadaake walikovamia kumbe inasemekana kulikuwa na concealed cameras hivyo wamejulikana wote
Only professionals can act professionally... Wamebug big time?
Yaani hao waliruka ukutwa wamechekwa kwa dharau, sijui wanajisikiaje huko waliko
Hajakataa ila walimpa ๐น๐นHahahaha๐๐๐๐