Hivi, kweli kabisa Vyombo vya Ulinzi na Usalama waliamini Polepole yuko Tanzania?

Halafu mi naona kweli akili hawana, wamezima mitandao ili tusione live lakini still tumekuja kuiona recorded, kwa akili yao wanadhani kuona live na recorded content inakua na utofauti!!
 
Hao wanaopewa kazi kuvamia watu na kuteka wanakwenda kaa manyumbu,unprofessional kabisa
Sijui huwa wanawa waokota wapi
Watu wakuokotwa hata JKT hawajapitia wengi wao hawa wenye majina kama junior.
Si unajua kazi zinanunuliwa siku hizi, ukiwaona right people. ukiwa na toto lenye sifa za mpapai usio zaa. Unakata pochi linachukuliwa wewe unabaki na mama yake.
Usije ukampa mwanao jina la junior muite hata chuma chakavu lkn sio junior.
 
Tukipumzishe chama chako! Kimechoka
Tatizo Mshana Jr hatuna mbadala kabisa. Kwa sababu wapinzani wote wana bei na hawajui misingi ya utawala bora. Can you imagine hiki chama mfu cha chadema kilivyosambaratika. Hivi ni akili kweli top management yote iondoke kisa mwenyekiti kashindwa uchaguzi??? Yaani leo kigaila awe wa kuisema vibaya chadema??? In short upinzani kwa sasa unatengenezwa na mfumo na kuuliwa na mfumo until when wakijitambua ila now wote wananunulika!
 
If you can't stand the heat. Get out of the kitchen. ... 🔥
 
Ndio taratibu zilivyo
 
Haki ipi ya kuabudu unayodai kama sio undezi, kabla hujamlalamikia Samia kwanini usikemee usanii wa huyo Tapeli mmiliki wa hayo makanisa yalofungiwa? Kulikuwa na haja gani ya yeye kutumia madhabahu kwa mambo ya kisiasa? au hiyo ndio ibada unahodai wewe??
kuna wakati hamjui hata mnataka nini..?? mara mseme utekaji mara ooh kafungia makanisa!! makanisa na miaka yote alikuwepo mbona hakufungiwa? Nchi hii kuna utitiri wa makanisa mangapi na mbona kafungiwa yeye tu? Yaani yeye anauspesho gani kwamba hata akivunja sheria asiguswe? Msikiti wa Mwembe chai uliwahi kufungiwa mwishoni nwa miaka ya tisini na Serikali mbona hakukuwa na makelele kama haya? Haitajalisha ni nani, ukivunja sheria, ukihatarisha amani utashughulikiwa tu.. SHENZI KABISA!!
 
Magufulo ndio alitufikisha hapa.
Hapana Dkt Magufuli tunamsingizia kabisa. Aliyetufikisha hapa ni Mwl Nyerere. Kasanga Tumbo, akina Aboud Jumbe ilikuwaje??? Hiyo misukule yote ya hao waliopotea enzi za Mwl wapo wapi? Mwl alitengeneza mfumo wa kutekana na kupotezana na yeye ukaja kumlamba na kila rais unamlamba yaani hata Jk utamlamba tu hahaha hata Samia utamlamba tu hahahaha
 
Mudawote haya maneno kwamba hatuna mbadala ndio yametufikisha hapa... Hatupaswi kuyapa tena nafasi..imetosha sasa
 
Jamaa ana codes amesha kuwa na vyeo vikubwa anajuwa njia yakutokea kwenye nyumba yao na amejitanabaisha ni mwana usalama kaz ipo ipo sana yaani ni jasus lililo pikwa kwa kaz maalumu na hii ndio kaz anaifanya chini ya mwamvuli wa majasusi wengine wasio julikana jk alipowabagaza mwenzake wastaafu na wao wameamua kumuonyesha pia ni wa town na kama ccm ina wenyewe basi ajuwe sio wazee ni vijana alafu hawakutarajiwa ngoma ipo mahali inasubiriwa kwa hamu... washike nchi wenyewe wamabaka baka wachapane kisha wawakabidhi watakapo maliza
 
Hii umeiweka vizuri sana! Zile codes zote sasa zimekuwa decoded
 
Kuna kikundi cha wezi wa pesa za walipa kodi, kazi yao ni kumchochea mkoloni kaburu afanye mambo ya hovyo kisha wanaomba pesa kwa kisingizio cha kazi maalum ni wizi mpya wa pesa za umma
 
Utabiri wa shekhe Yahya unasema Mwanamke atatawala kipindi kifupi tu, lakini ibirisi wa ccm wanalazimisha atawale kipindi kirefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…