Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy miaka 4 kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili

Kazi ya mfamasia Ni kufanya prescription
Mmmmh!
Hapana kwa 100%.
Huwezi na huruhusiwi kufanya prescription kama huna hizi sifa.
1. Hujaapishwa kutibu mtu (Hii previlege wamepewa madaktari tu)
2. Huna mamlaka na hufahamu wa kufanya diagnosis. (Hili lipo mikononi mwa madaktari tu)

Hata hao madaktari wana level mbalimbali katika kufanya prescription, sio kila daktari anaweza (anaruhusiwa) kufanya prescription fulani.
Ndio maana mpaka leo hii, dunia nzima kuna Prescription huwezi kuandikiwa na Daktari yoyote, ni mpaka level fulani ya Daktari wa specialised fulani ndio ana ruhusa hiyo.
 
Yaani hio pharmacotherapy ndo unataka kuifananisha na mtu anayesoma na kupitia both junior na senior rotation za Major Departments (IM,OG,GS&Paed) kwenye kufanya diagnosis..??
Watoto wa intern mnakuwaga na akili za kipumbavu sana.
Ni kweli hawa intern huwa wanajikuta wanajua kumbe ujinga nwingi sana umewatawala

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Japo sheria haimruhusu kufanya matibabu, au nakosea?
Haruhusiwi hata kutibu, lakini anatibu kuliko hospitali, wanawake na Watoto wana complication sana matatizo yao, sasa jamaa anaelewa vizuri mpaka Dawa, na Dawa nyingine unaweza kumuandikia mtu aitafute kwenye pharmacy kubwa na ukipata tatizo limeisha.

Namjuwa kwa zaidi ya miaka 20 yupo vizuri sana.
 
Acha uongo kuna bodi ya wafamasia na wana mitihani yao ya taaluma tofauti na watu wa medicine
Proffessional board ya watu wa pharmacy Tanzania ipo ,sema tu labda haiko effective na hii iko kwenye taasisi nyingi za kibongo kama unavyojua
 
Kuna Jamaa aliniambia eti Pharmacists ni Learned Drug Dealers tu
 
si wana pharmacy council hawa..??
Hizo council zinaongozwa na typical pharmacists, wanashindwa nini kupaza sauti huko..??
Vitu vingine ni none sense kabisa kulalamikiwa. Njoo wizarani hata kesho, you wont find a Medical Officer who is in charge of Pharmacists.
 
Mkuu huu uzi umeletwa na hawa vijana wa intern hawajui lolote

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
[emoji51][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]issue anakuja kuzigawa kwa kina nan hapo hamna cha kurekebisha wakomae waje watuuzie dawa bna
 
Argument yako haiko sahihi.
Mabishano ya kisayansi katika taaluma ya utabibu (diagnosis, treatment (prescription) ni jambo la siku zote, la kawaida, lipo dunia nzima. Hivyo sio issue.

Kuhusu mfamasia kuamua huo ugomvi wa dosage hapo Ilala, unatupa picha hii.
-Madaktari walikuwa na uelewa tofauti katika dosage ya dawa kwa mgonjwa.

-Mfamasia ametumika kama msaidizi mtaalamu (consultant) katika kusaidia hitimisho ya mjadala wa dosage. Na hivyo ndivyo taaluma ya utabibu inataka.
 
Taja kazi za wafamasia.

Mwifwa rikiboy Carlos The Jackal
 
Hii ni obvious chai kabisa. Hakuna pharmacist anaweza kutibu zaidi ya Medical Officer, this is very wrong. Wanaweza wakawa na uelewa sahihi na wa kushahibiana kwenye prescription za dawa ila kwenye kutibu (taking hx, knowing what right investigation to do and formulating right diagnosis) Medical Officer knows and can do a lot compared to hao watu wa dawa. Na hii, hiko wazi wala haina uhitaji wa ubishi. Na get to know this, kisheria huyo mtu wako wa dawa haruhusiwi kufanya hayo anayoyafanya hapo kwenye maelezo yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…