Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy miaka 4 kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili

Hata hyo miaka minne wanasoma kwa pressure haitoshi mwili binadamu uko delicate sana ukiingiza kitu kigeni kwa kiwango kisichotakiwa jua unaudhuru mwili kwa sumu kwani hzo dawa anazogawa ni sumu na zinaua zikitumika bila usimamizi wa mtaalamu hvyo jaribu kuwaheshimu
 
Bangi siyo nzuri, wapi nimesema anaruhusiwa?

Uliza Muhimbili kuna kichwa kinaitwa Dr Kabote MD ni surgeon mzuri sana, kwenye huo mtaa alichukuliwa na dispensary moja kufanya consultation akitoka Muhimbili alikosa wagonjwa na anawaona kwa jamaa Nyomi linamsubiri mfamasia afike SAA 12 jioni kwenye pharmacy yake aanze kuhudumia wateja na yeye MD mzima hana mgonjwa amekaa tu barazani.

Tatizo la watu wajinga unadhani kila mtu yuko mtandaoni kuandika ujinga wakati hapa tunashare experience.

Mimi hapa nilipo nipo camp na first aid box Mimi ndio Mfamasia wao, Wa kumpa Flamar najuwa, wa kumpa ibufen najuwa and likes, nidanganye ili nifaidike nini?

Jinga kabisa.
 
Umeusemea vyema mjadala:

1: Kila mmoja ni muhimu kwa mwenzake.

2: Kila mmoja amesoma masomo ya mwenzake ila akijielekeza zaidi kwenye sehemu yake.

3: Wote wanakutana katikati katika kumhudumia mgonjwa.

4: Kazi ya mfamasia si kugawa dawa tu kama watu wanavyowatizama. Wafamasia ni sehemu ya drug molecules development/ugunduzi wa dawa.

5: Wafamasia ni watu wanaotakiwa kufanya compounding of molecules/kutengeneza michanganyiko ya dawa kulingana na mahitaji ya taasisi husika kwa usalama.

6: Mfamasia ni sehemu ya mnyororo wa manunuzi ya dawa na vifaa tiba kwa taasisi.

7: Mfamasia ni srhemu ya mnyororo wa utunzaji salama wa dawa na vifaa tiba.

8: Mfamasia ni mratibu wa matumizi ya dawa na vifaa tiba.

9: Mfamasia ni mratibu wa makosa yasiyokamilika/near miss kwenye utoaji wa tiba.

10: Mfamasia ni mratibu wa mpangilio wa dawa kwenye eneo la kazi.

11: Mfamasia ni mratibu wa madhira tarajiwa na yasiyotarajiwa ya dawa kwenye eneo lake.

12: Mfamasia ni mtoa elimu ya matumizi ya dawa kwa wateja anaowahudumia.

13: Nk.👇

Hivyo, hawa watu wanahitajiana sana. Mtu mmoja kutokutekeleza au kuzembea majukumu si sababu ya kulaumu fani nzima au kuishusha thamani na kinyume chake.

Kutokupata nafasi ya kutimiza majukumu yako kifasaha si sababu ya kuhitaji kazi nyingine kutoka fani tofauti. Tujitahidi kuelewa majukumu ya watu kabla ya kuwajadili na kutoa hitimisho.

Ukiondoa majivuno ya kibinadamu, mfamasia ana nafaai ya kumshauri daktari na daktari ana nafasi ya kumshauri mfamasia. Ni suala la uelewa tu.
 
Huu ni uongo, Clinical officer hawezi kukaa hospitali ya wilaya. Tena afadhali ingekuwa peripheral huko, ila Ilala hapo hauwezi kumkuta CO kwenye district hospital
 
Nimeeleza kwenye post za juu, kuna mama yangu Fulani tumezika kwa sababu ya Dawa zilikuwa zinashusha immunity badala ya kumtibu, sitaki kutaja jina la hospitali itakuwa si uungwana lakini hospitali kubwa tu
 
Hakuna dawa inaitwa Ibufen, kafanye ushoga labda ila you are not even close to being a medical professional.
 
Hakuna dawa inaitwa Ibufen, kafanye ushoga labda ila you are not even close to being a medical professional.
Wewe huna akili, first aid box hazitumiwi na madaktari pumbavu wewe.

Layman yoyote eneo la kazi anajuwa pain killer ipi atumie.

Yani unategemea mtu ambaye siyo field yake azitaje Dawa kitaaluma? Au ukiona Dr unajuwa ni Doctor of medicine?
 

Viongozi wenu wa juu wanahusika nini hapa?
 
Nimeeleza kwenye post za juu, kuna mama yangu Fulani tumezika kwa sababu ya Dawa zilikuwa zinashusha immunity badala ya kumtibu, sitaki kutaja jina la hospitali itakuwa si uungwana lakini hospitali kubwa tu
Wewe ni mtaalamu unashindwaje kujua dawa zina side effect linaweza kutokea kama ilivyotokea kwa huyo mama yetu though ni case chache lakini hutokea nkupe mfamo mimi nkitumia dawa yeyote yenye asprin au paracentm kichwa huvimba na kuwa na manundu manundu it has nothng to do na wafamasia ni side effect tu
 
Yaani Mkuu umemuelewesha kwa level ya juu sana na kwa hekima sana maana anatia hadi hasira anavyoshindwa ku grasp knowledge ndogo hivyo. Hizi topic tunazo kila mwaka, watoto wakianza intern. Na hapa wameanza ku report last week, kwahyo jaribu tu kuwaelewa kwamba they are frustrated na Job description yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…