Hivi kweli Rais Samia umedhamiria kuleta maendeleo nchini?

HAKUNA CHA MAENDELEO HAPO UNATARAJIA MSANII AKULETEE MAENDELEO?
 
Kwa ma DC sawa tu,lakini kosa hili asijaribu kwa ma DED,
Local government authority instituition ni complex Sana,mtu akiingia kwenye hii authority kama DED au MD whatever, itamchukua si chini ya 2 years kumaster mifumo iliyomo achilia mbali bado kuna kuadapt mihemko ya madiwani, siasa ya humo n ngumu,mda wote unatafutwa wakukute na doa.

Maendeleo yanakwamishwa na mambo mengi Sana.
 
Yaani mkuu wawilaya jokate Afu kuwe na maendleleo????
 
Maza anapiga bora liende
 
Yaani kweli Nikki wa Pili anaenda kulisimamia na kuwa juu ya jeshi la polisi la wilaya pamoja na maafisa usalama wilaya??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpe muda, anaweza kukushangaza mkuu, nani ajuaye🤔!?
 
Hapa mimi siungi mkono kumleta Dar, huyu tunamtaka wilaya ya Mlele, Tanganyika, Chato, kakonko nk sisi nasi tunayo haki ya kuhudumiwa na uongozi wa kichapakazi wa Jokate...kama mama SSH hademki basi atasikia na kutendea kazi haya...vinginevyo basi ni mdemkaji kama wademkaji wengine tu😡!
 
Usikariri waulize Wakenya kwanza kama katiba mpya imewasaidia. Kuna nchi hazina katiba kabisa lakini ziko vizuri sana kimaendeleo.
Sasa matatizo ya Kenya na Tanzania ni sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…