[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Piga kazi mama tumecheleweshwa mno kama taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Piga kazi mama tumecheleweshwa mno kama taifa
HAKUNA CHA MAENDELEO HAPO UNATARAJIA MSANII AKULETEE MAENDELEO?Kwa namna ulivyoteua ma-DC sioni kama uko serious. Nafasi ya u-DC inashuka hadhi kila kukicha, kwa sababu inaonyesha kila mtu anaweza kitu ambacho si kweli.
DC ni mtu ambaye anatakiwa atoe dira ya maendeleo ya wilaya yake lakini kwa baadhi ya hawa uliowateua ni sawa na wapiga debe wa daladala! DC ni mtu ambaye anatakiwa kumshauri RC kudumisha amani ndani ya wilaya yake lakini hawa ni ma-DJ watakaokesha katika kumbi za starehe. DC ni mlezi wa vijana katika wilaya yake lakini hawa ni comedians.
Kwa kifupi hakuna uongozi katika wilaya, hakuna mlezi, hakuna busara uliyopeleka wilayani bali kuna washereheshaji! Tafadhali Rais Samia hebu kuwa serious kidogo wananchi tupate imani! Nalilia nchi yangu inavyoangamia! Hawa vijana wako angalau wangepewa orientation ya uongozi!
Mungu ibariki Tanzania!
Washasahau tayariLakini kumbukeni mwendazake aliteuawa mpaka watangazaji wa shilawadu kuwa ma-DED mpaka leo wanatusua!
Local government authority instituition ni complex Sana,mtu akiingia kwenye hii authority kama DED au MD whatever, itamchukua si chini ya 2 years kumaster mifumo iliyomo achilia mbali bado kuna kuadapt mihemko ya madiwani, siasa ya humo n ngumu,mda wote unatafutwa wakukute na doa.Kwa ma DC sawa tu,lakini kosa hili asijaribu kwa ma DED,
Yaani mkuu wawilaya jokate Afu kuwe na maendleleo????Kwa namna ulivyoteua ma-DC sioni kama uko serious. Nafasi ya u-DC inashuka hadhi kila kukicha, kwa sababu inaonyesha kila mtu anaweza kitu ambacho si kweli.
DC ni mtu ambaye anatakiwa atoe dira ya maendeleo ya wilaya yake lakini kwa baadhi ya hawa uliowateua ni sawa na wapiga debe wa daladala! DC ni mtu ambaye anatakiwa kumshauri RC kudumisha amani ndani ya wilaya yake lakini hawa ni ma-DJ watakaokesha katika kumbi za starehe. DC ni mlezi wa vijana katika wilaya yake lakini hawa ni comedians.
Kwa kifupi hakuna uongozi katika wilaya, hakuna mlezi, hakuna busara uliyopeleka wilayani bali kuna washereheshaji! Tafadhali Rais Samia hebu kuwa serious kidogo wananchi tupate imani! Nalilia nchi yangu inavyoangamia! Hawa vijana wako angalau wangepewa orientation ya uongozi!
Mungu ibariki Tanzania!
Taaluma gani sasa? Maana wapo wenye certificate mpaka PhD humoDED ni taaluma mkuu. Si suala tu la uteuzi pekee.
Umri na elimu yako vipi?RPC ni wilaya.
OCD ni wakuu wa vituo vya polisi. Mimi mwenyewe nina Anko amewahi kuwa OCD.
bingwa wa kukufir***, miaka 45 baru baru.Umri na elimu yako vipi?
Maza anapiga bora liendeKwa namna ulivyoteua ma-DC sioni kama uko serious. Nafasi ya u-DC inashuka hadhi kila kukicha, kwa sababu inaonyesha kila mtu anaweza kitu ambacho si kweli.
DC ni mtu ambaye anatakiwa atoe dira ya maendeleo ya wilaya yake lakini kwa baadhi ya hawa uliowateua ni sawa na wapiga debe wa daladala! DC ni mtu ambaye anatakiwa kumshauri RC kudumisha amani ndani ya wilaya yake lakini hawa ni ma-DJ watakaokesha katika kumbi za starehe. DC ni mlezi wa vijana katika wilaya yake lakini hawa ni comedians.
Kwa kifupi hakuna uongozi katika wilaya, hakuna mlezi, hakuna busara uliyopeleka wilayani bali kuna washereheshaji! Tafadhali Rais Samia hebu kuwa serious kidogo wananchi tupate imani! Nalilia nchi yangu inavyoangamia! Hawa vijana wako angalau wangepewa orientation ya uongozi!
Mungu ibariki Tanzania!
Usikariri waulize Wakenya kwanza kama katiba mpya imewasaidia. Kuna nchi hazina katiba kabisa lakini ziko vizuri sana kimaendeleo.Bila katiba hakuna jipya
HahahahaMaza anapiga bora liende
Mpe muda, anaweza kukushangaza mkuu, nani ajuaye🤔!?Yaani kweli Nikki wa Pili anaenda kulisimamia na kuwa juu ya jeshi la polisi la wilaya pamoja na maafisa usalama wilaya??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa mimi siungi mkono kumleta Dar, huyu tunamtaka wilaya ya Mlele, Tanganyika, Chato, kakonko nk sisi nasi tunayo haki ya kuhudumiwa na uongozi wa kichapakazi wa Jokate...kama mama SSH hademki basi atasikia na kutendea kazi haya...vinginevyo basi ni mdemkaji kama wademkaji wengine tu😡!Ni sawa kama anachapa kazi, sasa kumtoa huko kumleta huku ni katika kutunuku utendaji wake au ndo kamaliza kazi huko?
Kama ni mtendaji haswa, wamuache apige kazi mpaka hiyi wilaya ionekane hadharani, wampe incentives tu za kutosha na pengine za ziada ili awe motivated. Wakiona alipofikia hakuna tena atakachoongeza, wampeleke kwingine, nako akatunyanyulie maendeleo, sio kumleta huku tunakoenda AUTOMATIC, hapa hataweza kuonesha uwezo, atazingirwa na ujinga na ukwelu kwamba anao ujinga, utaonekana hadharani hapa.
Sasa matatizo ya Kenya na Tanzania ni sawa?Usikariri waulize Wakenya kwanza kama katiba mpya imewasaidia. Kuna nchi hazina katiba kabisa lakini ziko vizuri sana kimaendeleo.
Hawezi tenaInabidi ajitafakari!
SeenHahahaha