Sawa. Hivyo, sio sahihi kwamba waliokufa hawana kumbukumbu ya ya duniani! They have memories kama yule tajiri akiwa kwenye mateso makali kuzimu alivyokumbuka ndugu zake aliowaacha duniani na kumwomba Ibrahim amtume mtu kuwaonya!Huwezi kufafanuliwa, yani hivi vitabu mfano wake ni sawa na Nyerere mwaka 1960 anazungumzia jinsi alivyokufa na msiba wake mwaka 1999.
Ni ngumu sana kwa mtu anayetumia akili na logic kuviamini vitabu hivi, hasa kile cha Quran ndio magumashi matupu.
Kwanini unadhani habari za tajiri ni kisa cha kweli na simulizi la msamaria ni ya kutungwa?Simulizi hii ya Yesu inaonyesha hili ni jambo kamili lilitokea haikuwa hadithi ya kutungwa kama ile hadithi ya Msamaria mwema
... alikuwa anatupa picha ya maisha yajayo baada ya kuondoka katika dunia hii.Naye anatuchanganya, kwahiyo alikuwa anamsemea tajiri
... yule tajiri akiwa kule kuzimu akakumbuka ndugu zake aliowaacha duniani!Akili yako inakuwa kama memory card. Inaflashiwa unakuwa hukumbuki chochote
Hivi haijawahi kuandikwa injili ya Lazaro?Mimi sio msomaji mzuri wa Bibilia, ila nimesikia habari ya Lazoro kufa na baadae kufufuliwa na Yesu wakati Yesu bado yuko hapa duniani na tena tunaambiwa alikuwa anatoa harufu.
Swali ni je, Lazaro alihadithia nini kuhusu kifio au hakusema chochote?
Kwa mfano, wakati anakata roho, nini hasa kilitokea?
Na je, alikufa mara ya pili au ilikuwaje?
Mwenye majibu tafadhali.
Unaweza kutunga stori zako; ukaandika kitabu ukazisambaza watu wakaziamini kwa mamilioni Mkuu?Mkuu usipende kuamini story za Biblia na Qur'an kwani zile ni hadithi tu za kuchanganya watu akili wa kuwatia hofu
... Lazaro aliyefufuliwa na Yesu (by then Yesu akiwa duniani) na Lazaro aliyekuwa na Ibrahim mbinguni na tajiri akiwa kuzimu (by then Musa akiwa duniani). Hao ni Lazaro wawili.Nieleweshe hii
Akiwa kuzimu sio akiwa amerud dunian. Halafu ukiwa unataka kuijua Biblia usisome mstari mmoja mmoja soma kwa muktadha mzima utaielewa. Maana Yesu mwenyewe anasema cc au nyie mmepata kupewa kuzijua Siri za Mungu wengine watasikia au kusoma hawataelewa ndio maana Biblia imeandikwa kwa mafumbo. Wako wakuielewa na wako watakaopotea.... yule tajiri akiwa kule kuzimu akakumbuka ndugu zake aliowaacha duniani!
Kwahy Lazaro aliyekuwa na Ibrahim hakufufuliwa.?... Lazaro aliyefufuliwa na Yesu (by then Yesu akiwa duniani) na Lazaro aliyekuwa na Ibrahim mbinguni na tajiri akiwa kuzimu (by then Musa akiwa duniani). Hao ni Lazaro wawili.
Asee [emoji848][emoji848]Kuzimu ni kaburini.
Aliibuka kama mtu aliyetoka kulala.
Angekuwa mahali bora angeibuka na kumalumu Yesu kwa nini kamrudisha kwenye shida za dunia?
Ngoja nimuite huyo muumini wa hicho kitabu FaizaFoxyHuwezi kufafanuliwa, yani hivi vitabu mfano wake ni sawa na Nyerere mwaka 1960 anazungumzia jinsi alivyokufa na msiba wake mwaka 1999.
Ni ngumu sana kwa mtu anayetumia akili na logic kuviamini vitabu hivi, hasa kile cha Quran ndio magumashi matupu.
Ushasema mfano alichokuwa anazungumzia sio kifo halisi... ule mfano wa Yesu kuhusu maskini Lazaro kifuani pa Ibrahimu tunaona yule tajiri kule kuzimu akikumbuka ndugu zake aliowaacha duniani. Ufafanuzi tafadhali.
Neno mfano halizuii simulizi la tukio halisi. Unaweza kutolea mfano tukio la kweli.Ushasema mfano alichokuwa anazungumzia sio kifo halisi
Hao ni Lazaro wawili tofauti Mkuu tena wa nyakati mbili tofauti kabisa. Lazaro wa Ibrahim akiwa peponi, Musa yuko duniani.Kwahy Lazaro aliyekuwa na Ibrahim hakufufuliwa.?
Kasome vizuri lile simuliziNeno mfano halizuii simulizi la tukio halisi. Unaweza kutolea mfano tukio la kweli.
Huo ulikuwa mfano anawapa onyo Mafarsiayo waliokuwa wanajihesabia haki. Mafarisayo ni kama matajiri na Lazaro kama watu wa kawaida. Moto na mateso ya mafarisayo ni mahubiri waliyokuwa wanahubiriwa. Mahubiri ambayo yanawachoma lakini, mahubiri waliyoyakayakataa lakini yakakubaliwa na watu wa kawaida kama wavuvi.Simulizi hii ya Yesu inaonyesha hili ni jambo kamili lilitokea haikuwa hadithi ya kutungwa kama ile hadithi ya Msamaria mwema
hapa Musa anapotajwa hapo anawakilisha watumishi wote wa Mungu walioko duniani.Musa anayemzungumzia hapa ni yupi maana Musa alikufa kabla ya Yesu kuzaliwa
Ni kitu gani kinawafanya majority ya wayahudi wamkatae Yesu mpaka leoHuo ulikuwa mfano anawapa onyo Mafarsiayo waliokuwa wanajihesabia haki. Mafarisayo ni kama matajiri na Lazaro kama watu wa kawaida. Moto na mateso ya mafarisayo ni mahubiri waliyokuwa wanahubiriwa. Mahubiri ambayo yanawachoma lakini, mahubiri waliyoyakayakataa lakini yakakubaliwa na watu wa kawaida kama wavuvi.