Hivi mamlaka husika zilikuwa wapi mpaka kipande cha "unyanyasaji wa kingono" kinaandikwa kwenye kitabu cha Kabendera?

Mkuu kama unaona kabendera kaandika habari za uzushi nenda kafungue kesi mahakamani
 
Mbona mnakuza mambo, hakuna mstari unaosema kwamba jamaa alinuia kubaka - amesema alienda na nguo za kulalia. Kwani we huwezi kutoka na boxer kama kuna dharura?
Mimi na Rais ni watu wawili tofauti acha ushamba
 
Kama hakuna kipande hicho basi naomba uzi huu ufutwe
Hakuna kabisa
Ila alienda na pyjama kwa VP wake
Unajua depression ni mbaya sana na kutoka na pyjama hata kwenda kazini huku unaendesha gari ni kawaida
Unakuja kushtuka baadae

Haiingii akilini eti unaenda kufanya kitu kama mleta mada unavyotulazimisha tuamini haya ila unaonekana hujui msongo wa mawazo wewe

Utasema Rais na mamlaka yake atapataje depression?
Billionaires wanajinyonga kwa depression itakuwa mtu ambae alikuwa anasema analala na mafaili huku akisikiliza mpaka simu za wenye ndoa? Yaani wasaidizi wake

Ukisoma vizuri inasema tofauti na ubakaji
 
Duh!!!
 
Kama ww ulivyokuwa unaamini taarifa za kupika kipindi cha dhalimu magu, acha na wengine nao waamini huo uongo wa Kabendera.
 
Kwa nini hao watu huandika vitabu vyao kwa lugha ya mkolon wakati tuna lugha yetu nzuri tu ya taifa? Wanakuwa wamelenga nini hasa
 
Kwamba hatuwezi kuona anachoongea tukapima wenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…