Hivi mamlaka husika zilikuwa wapi mpaka kipande cha "unyanyasaji wa kingono" kinaandikwa kwenye kitabu cha Kabendera?

Hivi mamlaka husika zilikuwa wapi mpaka kipande cha "unyanyasaji wa kingono" kinaandikwa kwenye kitabu cha Kabendera?

Ujinga ni ignorance.
Umewahi kujiuliza kwanini unalazimishwa kwenda shule, angalau ufike darasa la saba au siku hizi form 4 na hata A level Form six?
Jibu ni kupunguza ignorance yaani ujinga.

Kwa bahati mbaya unakutana na don't touch Kabendera syndrom,anayetaka tuamini kila kitu anachokiandika.
Simply kwa kuwa anaandika kwenye vijigazeti vya fallen empire United Kingdom.
Open your mind.UK kwa sasa sio kipimo cha demokrasia na ustawishaji wa jamii kwa nchi za kwetu.
Mkuu kama unaona kabendera kaandika habari za uzushi nenda kafungue kesi mahakamani
 
Mbona mnakuza mambo, hakuna mstari unaosema kwamba jamaa alinuia kubaka - amesema alienda na nguo za kulalia. Kwani we huwezi kutoka na boxer kama kuna dharura?
Mimi na Rais ni watu wawili tofauti acha ushamba
 
Kama hakuna kipande hicho basi naomba uzi huu ufutwe
Hakuna kabisa
Ila alienda na pyjama kwa VP wake
Unajua depression ni mbaya sana na kutoka na pyjama hata kwenda kazini huku unaendesha gari ni kawaida
Unakuja kushtuka baadae

Haiingii akilini eti unaenda kufanya kitu kama mleta mada unavyotulazimisha tuamini haya ila unaonekana hujui msongo wa mawazo wewe

Utasema Rais na mamlaka yake atapataje depression?
Billionaires wanajinyonga kwa depression itakuwa mtu ambae alikuwa anasema analala na mafaili huku akisikiliza mpaka simu za wenye ndoa? Yaani wasaidizi wake

Ukisoma vizuri inasema tofauti na ubakaji
 
Ukisikiliza Mahojiano yake na Ghassan, jamaa ameeleza vyema sana sana, Kabendera sio Garasa kama watu wanavyomuona. The guy alikua anajua anachokifanya, kabla ya kusoma kile kitabu chake, msikilize kwanza, anasema kimekua reviewed na wanasheria wengi sana na kwa kipindi kirefu sana, kuna baadhi ya sura zimekua reviewed zaidi ya mwaka mzima na experts tofauti tofauti. Jamaa ana sources nyingi sana ndani ya serikali. Kwakifupi anajua alichokiandika, ni mpumbavu tu atakayetaka ligi nae.


View: https://www.youtube.com/watch?v=HfQqupIGlKM

Duh!!!
 
Mwambie alete ushahidi wa hilo tukio. Unaweza kuona dhamira ya huyu mwandishi Kabendera na ni mtu mwenye roho ya aina gani kumsingizia mtu kitu cha hovyo kama hicho.

Ana uwezo wa kutunga chochote kumdhalilisha na kumshushia hadhi mtu kwa pesa, umaarufu, chuki, kulipiza kisasi. Of course anajua wengi wenu ni naive, gullible, easily manipulated mnaamini chochote kilichoandikwa bila kuhoji, uthibitisho.
Kama ww ulivyokuwa unaamini taarifa za kupika kipindi cha dhalimu magu, acha na wengine nao waamini huo uongo wa Kabendera.
 
Kwa nini hao watu huandika vitabu vyao kwa lugha ya mkolon wakati tuna lugha yetu nzuri tu ya taifa? Wanakuwa wamelenga nini hasa
 
Kabendera hana tofauti na Ansbert Ngurumo, watu fulani wananunulika na hawaoni aibu kumchafua yoyote aliye nyumbani Tanzania wakishaingiziwa pesa kwenye akaunti zao.

Kagame alituma watu wa kazi wakamuua mnyarwanda mmoja kule Afrika ya Kusini mwenye tabia kama hizi za Kabendera na Ngurumo.
Kwamba hatuwezi kuona anachoongea tukapima wenyewe?
 
Back
Top Bottom