Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Mkuu kama unaona kabendera kaandika habari za uzushi nenda kafungue kesi mahakamaniUjinga ni ignorance.
Umewahi kujiuliza kwanini unalazimishwa kwenda shule, angalau ufike darasa la saba au siku hizi form 4 na hata A level Form six?
Jibu ni kupunguza ignorance yaani ujinga.
Kwa bahati mbaya unakutana na don't touch Kabendera syndrom,anayetaka tuamini kila kitu anachokiandika.
Simply kwa kuwa anaandika kwenye vijigazeti vya fallen empire United Kingdom.
Open your mind.UK kwa sasa sio kipimo cha demokrasia na ustawishaji wa jamii kwa nchi za kwetu.