Hivi mbona Salama Jabir haolewi na hana Mtoto

Labda kama unataka kuolewa kilazima Ili ulishwe
Huwezi ukawa unafanya maamuzi yasiyo ya kawaida then unataka watu wote wakuone wa kawaida tu. Haipo hiyo Mkuu. Utaandamwa na familia na jamii non stop,utake usitake!
 
Hao watu wananisaidia nini kwenye maisha yangu mpaka waniandame?
 
Hata Mimi najiuliza hili swali, hivi ana shida gan? Au ana mambo nyuma ya pazia ambayo Yanamzuia? Binafsi ni mwanamke mzuri wa kuvutia na anavutia sana nikimwona BSS
 
Hao watu wananisaidia nini kwenye maisha yangu mpaka waniandame?
Wanakusaidia uache kuwa miongoni mwa watu wanaoharibu ASILI bali kuitunza na kuiendeleza. Hata hivyo utawashukuru baadae even when it's too late!
 
Ukiwa Mwanamke mwenye afya njema, huna matatizo ya kibailojia same to men kuoa/kuolewa ni lazima ndiko uanamke na uanaume huheshimikia. Hizi kauli zingine ni faraja tu lakin kuoa na kuolewa ni lazima.
Siyo lazima.
 
We ukiolewa na ukapata watoto inatosha .....kazi kufuatilia maisha ya wengine nyoooookooooo
 
Wanakusaidia uache kuwa miongoni mwa watu wanaoharibu ASILI bali kuitunza na kuiendeleza. Hata hivyo utawashukuru baadae even when it's too late!
Bado Hujajibu swali langu wananisaidia nini kwenye maisha yangu maana mtu mwenye akili timamu huwezi kuamka na kuanza kumuandama mtu ambae hakuduhuru na humsaidii chochote kwenye maisha yake
 
Nimekujibu jibu ambalo akili yako imegoma kulipokea kwa sababu ya msimamo uliojiwekea!.
 
Jibu swali ukiwa kama binadamu na akili timamu unaanzaje kumuandma mtu ambae hakuduhuru na haumsaidii chochote kwenye maisha yake ya Kila siku je huna kazi ya kufanya Hili swali ujaribu naona unaliruka tu
 
Wanakusaidia urudi kwenye mstari unaopaswa kuwa kulingana na ASILI yako.
 
Wanaosema ndoa ni personal life ndio hao hao wanachangisha michango ya harusi.

Hii nchi ina watu vigeugeu sana.
 
Kheee aliyemwambia Watu wamekuja kuolewa na kuzaa nani
 
Back
Top Bottom