Hivi mbona Salama Jabir haolewi na hana Mtoto

Hivi mbona Salama Jabir haolewi na hana Mtoto

Sio kila mtu ana hulka ya kutangaza mahusiano na mambo ya kifamilia
 
Naona kama umri umeshasonga sana vile. Au yeye ni mdogo kwa Celebrities wengine kama Zamaradi nk
Life style yake imepunguza haiba yake ya kike. Nadhani amechagua kutokuolewa milele na milele. Sema emeeeni😄
 
Kwan mkifuatilia maisha ya watu mnapata faida gani?
Hatufuatilii,maisha yao ndio yanatufuatilia Sisi. Yule ni celebrity ujue. Ukiwasha TV tu unamkuta na Vinjuka plus mlegezo na usela mwingi. Kwa hiyo Mh nikuombe ufute kauli tafadhali tuna mambo mengi ya kufanya hatuna muda wa kufuatilia maisha BINAFSI ya mtu😄
 
Mzee uslizamishe akili Yako iwe ya watu wote dunia ni kubwa unavyosema lazima inamaana wedz umekaa kwenye ubongo wa Kila binadamu duniani
Anazungumzia ASILI. Hazungumzii UAMUZI binafsi wa mtu ambao wakati mwingine unaweza kuhusisha UASI wa ASILI yake!
 
Inawezekana ana changamoto zake ambazo ziko nje ya uwezo wake. Badala ya kumzodoa tumwombee. Wengine wanasema anajiweka kama mwanaume. Huenda hiyo ndio njia inamfanya aendelee kuishi hadi leo. Kuna watu wakiwa na changamoto wanafikiria tu kujidhuru. Ila kuna watu hutafuta njia mbadala ili waendelee kuishi kwa furaha.
Hiyo changamoto hadi YESU ameishindwa?
 
Back
Top Bottom