secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Yap, "...katika viumbe vyote vilivyoumbwa binadamu kaumbika kuliko vyoote....."Tupe experience hapo.
Yap, "...katika viumbe vyote vilivyoumbwa binadamu kaumbika kuliko vyoote....."Tupe experience hapo.
We bichwa komwe una majukumu gani ya kiserikali wewe tangu lini🤣🤣🤣Kamuoe acha uvivu, unataka nani akamuoe sasa??
Mimi BICHWA KOMWE niko bize na majukumu ya kiserikali.
Naam binadamu tumeumbwa bhnYap, "...katika viumbe vyote vilivyoumbwa binadamu kaumbika kuliko vyoote....."
Kwanini wewe unakula ugali kila siku?Naona kama umri umeshasonga sana vile. Au yeye ni mdogo kwa Celebrities wengine kama Zamaradi nk
Na tukaumbika hasa.Naam binadamu tumeumbwa bhn
Em fikiria kila mwanamke ni mzuri kivyake na hawachoshiNa tukaumbika hasa.
Hakika mkuu mungu ni fundi.Em fikiria kila mwanamke ni mzuri kivyake na hawachoshi
Demi mimi bado masononeka kwa uamuzi wako! Naamini Evelyn Salt alikuwa anatania. Kama hakuwa anatania, am the looserKutwa kukataa ndoa sasa dada wa watu aolewe na nani na nyie mmegoma.
Hamna utani saahizi nipo na demi mahali kaa kwa kutuliaDemi mimi bado masononeka kwa uamuzi wako! Naamini Evelyn Salt alikuwa anatania. Kama hakuwa anatania, am the looser
Ndio anae ila hajawahi kumuonyesha kwenye publicMbona nilisikia anamtoto ama naota!
You are the loser my friend😄Demi mimi bado masononeka kwa uamuzi wako! Naamini Evelyn Salt alikuwa anatania. Kama hakuwa anatania, am the looser
afate nyanyo za Mwenzake Chemical, licha ya kujifanya na pigo za kiume bado aliikatikia vizuri na labor aliingia kwenda kuzaaNaona kama umri umeshasonga sana vile. Au yeye ni mdogo kwa Celebrities wengine kama Zamaradi nk
Hahaha 😁🤣afate nyanyo za Mwenzake Chemical, licha ya kujifanya na pigo za kiume bado aliikatikia vizuri na labor aliingia kwenda kuzaa
Nimelia sanaDada alikua na wowowo la haja yani, vijana wakalifakamia hadi wakaliunguza
Nitaua mtuHamna utani saahizi nipo na demi mahali kaa kwa kutulia
Acha utani! Kila kiungo kifanye kazi kilichoumbiwa!You are the loser my friend😄
Hivi wanamlomba kweli? Maana alivyo msela unaweza wakati unamsugua badala alie kama demu unashangaa anaanza kukwambia Oya oya janja acha usenge mdogo mdogo ntakutia doleNaona kama umri umeshasonga sana vile. Au yeye ni mdogo kwa Celebrities wengine kama Zamaradi nk
Mkuu erection au election?NO REFORM, NO ERECTION