Ukiwa Mwanamke mwenye afya njema, huna matatizo ya kibailojia same to men kuoa/kuolewa ni lazima ndiko uanamke na uanaume huheshimikia. Hizi kauli zingine ni faraja tu lakin kuoa na kuolewa ni lazima.
Kwahiyo watu wote hapa tz wameolewa na wana watoto?!Naona kama umri umeshasonga sana vile. Au yeye ni mdogo kwa Celebrities wengine kama Zamaradi nk
Sio lazima
Kuoa na kuzaa ni ujinga
Au sio?!Sio lazima
Kuoa na kuzaa ni ujinga
Labda amemuiba clinicMbona nilisikia anamtoto ama naota!
TomboyNaona kama umri umeshasonga sana vile. Au yeye ni mdogo kwa Celebrities wengine kama Zamaradi nk
Hakuna mwanamke mwenye afya njema na hana matatizo ya kujitakia akawa sehemu ya hii kauli, KILA mwanaume rijali lazima uwe na familia!!.Sio kila mwanamke au mwanaume anaolewa au kuoa
Ndio maana hakuna aliyewahi kufa kwa kukosa ndoa
Peleka posa sasaNaona kama umri umeshasonga sana vile. Au yeye ni mdogo kwa Celebrities wengine kama Zamaradi nk
Hakuna mwanamke mwenye afya njema na hana matatizo ya kujitakia akawa sehemu ya hii kauli, KILA mwanaume rijali lazima uwe na familia!!.
Hakuna raha/furaha kubwa Dunia hii kwa binadamu kama kuwa na familia yake hii ndio heshima pekee ya mtu mwanamke/mwanaume.
Mbona nasikia ana mtoto mkubwa tuukwao zenji hujoNaona kama umri umeshasonga sana vile. Au yeye ni mdogo kwa Celebrities wengine kama Zamaradi nk
Nani kasema ni lazima? Hijui dunia ndiyo maana unasema hivyo. Watanzania tuna stereo type za ajabu sana. Hjaona watu wengi tu wanazaa na kuishi wenyewe bila ndoa?Ukiwa Mwanamke mwenye afya njema, huna matatizo ya kibailojia same to men kuoa/kuolewa ni lazima ndiko uanamke na uanaume huheshimikia. Hizi kauli zingine ni faraja tu lakin kuoa na kuolewa ni lazima.
Ni Bongo hii. Hata akiolewa utasikia wanauliza tena ''mbona kaolewa na yule mwanaume''.Asipoolewa wewe inakupunguzia nini?learn to mind your own business
Naona kama umri umeshasonga sana vile. Au yeye ni mdogo kwa Celebrities wengine kama Zamaradi nk