Hivi mbona watoto wa siku hizi hawachezi michezo tuliyocheza zamani kama kombolela?

Hivi mbona watoto wa siku hizi hawachezi michezo tuliyocheza zamani kama kombolela?

Toka umezaliwa taja chochote ulichobuni chenye faida katika jamii yako au taifa kwa ujumla kutokana na huo ubunifu wako huko utotoni?,
Pia taja bunifu zilizotoka afrika kutokana na huko kubuni magari ya mbao?,
Wewe mpaka leo hii hivyo ulivyobuni viko wapi?

Kwa ile post yako uliyoniquote sidhani kama ubongo wako unafanya kazi effectively.

Nenda kasoma Phycology ya mtoto ndio uje tena.

Una uelewa mdogo sana wa mambo.
 
Ndio maana nikasema usijifanye mtakatifu sana, acha unafki..

Unafikir mtoto atajifunza matusi kwa kwa mchezo wa ukuti tu? Hata wew mzazi unaweza kumfundisha matusi.

Nyie ndio mnao fanya matusi mbele ya watoto wenu, mnakuja kusingizia mchezo wa ukuti[emoji16].

Kuna watu wa ajabu sana.

Wewe jamaa unawaangusha watoto wa michezoni wenzio wewe nk matusi matusi tu.

Zao la hiyo michezo imekufunza matusi matusi huna hoja zaidi ya kunya matusi.
 
Kwa makazi ya mjini nafasi ya kufanyia hiyo michezo, nyumba nyingi ni finyu sana nyumba hii ukuta huu hapa, na kule ambapo wana maeneo makubwa siyo rahisi kumuachilia mtoto aingie getini kwa mtu akacheze, kuaminiana kumekuwa finyu sana!
Hii inapelekea waegemee kwenye devices wanacheza huku wamekaa
 
Nenda kasoma Phycology ya mtoto ndio uje tena.

Una uelewa mdogo sana wa mambo.
Unadhani kwanini nchi ambazo hawajacheza hiyo michezo na wala hawaitambui wameendela kuliko nyinyi?

Alafu Phycology ya mtoto ni kitu gani?
nini maana ya Phycology?
Inaonesha hata hiyo psychology yenyewe hukosoma Kama ulisoma basi umekariri.

Unaposema nina uelewa mdogo wa mambo una maana gani?
mambo gani hayo?
Unajua definition ya mambo?
Alafu nini tofauti ya uelewa na kutambua?

Jibu yale maswali sio unaruka na kupinda mada, hizi ni tabia zilizosababishwa na hiyo michezo ya kombolela.
 
Kasome children development skills, alafu kugusia kitu kinaitwa Cognitive development.

Soma kiundani zaidi, utanielewa.

Hapa napoteza mda kukueleza vitu ambavyo huvijui..
 
Kasome children development skills, alafu kugusia kitu kinaitwa Cognitive development.

Soma kiundani zaidi, utanielewa.

Hapa napoteza mda kukueleza vitu ambavyo huvijui..
Sasa hii hoja yako ina prove nini Yaani mbona unakimbiakimbia wabunifu na wavumbuzi wote wa duniani walipitia Hiyo elimu.
 
Kasome children development skills, alafu kugusia kitu kinaitwa Cognitive development.

Soma kiundani zaidi, utanielewa.

Hapa napoteza mda kukueleza vitu ambavyo huvijui..
Seriously?
Jibu yale maswali niliyokuuliza, au hivi ndivyo unavyojibu hoja huko darasani? psychologist gani wewe unaogopa maswali?

yaani wewe psychologist unaulizwa maswali alafu unamwambia mwanafunzi "nenda kasome mwenyewe mimi sina muda kukuelezea kitu ambacho hukijui, kasome kiundani zaidi utanielewa"(in kingwendu's voice) seriously?,

Kama kweli wewe umesoma psychology basi tumia ulichokisoma kutengeneza hoja na sio kuruka,ruka,
ndio maana nikaandika wewe hujasoma psychology na kama umesoma basi umekariri,

na kwa kile ulichoniquote kule juu bila shaka wewe hata hukusoma hiyo psychology kama umesoma basi umekariri kama hujakariri basi ulikuwa unasinzia darasani na kama ulikuwa unasinzia darasani lazima utumie Google.

Pia kumbuka sijakuomba unielezee bali nimekuuliza maswali alafu ukapinda mada, jibu yale maswali mkuu au nahitimisha kombolela imekuharibu.
 
[emoji16][emoji16] tatizo umekomaa na komborela. Topic ina husu michezo ya watoto in general.
 
Mi huwa nawashawishi wanangu wasilipende, sijui cartoon gani lile bora watazame Alvin & Chipmunks!
[emoji1787] [emoji1787] Mimi mwenyewe hata silielewi.
Yes Alvin, Theodore na Simon hata mimi nawapenda.
 
Wadau hili ni kuwa michezo tuliyocheza zamani imepitwa na wakati au kama vile ukuti, kombolela, rede, kibaba na kimama, magari ya udongo, kuendesha matairi au kufunga kamba na kuendesha kama basi unapakia abiria. Hii michezo sioni kwa watoto wetu wa sasa, Je imepitwa na wakati?

Watoto wa siku hizi ni wa kidigitali, wanacheza game kwenye simu ao kwenye computer.
zamaini zenu hivyo vitu havikuwepo.
 
Mchina katuaribia Watoto.Ezi zetu sisi magari tunatengeneza wenyewe gari inabeba mpaka total .basket za miti AKA Bagadu dah zamani Raha
 
Komberala lipo New York mpaka Lisbon to Moscow mpaka London hadi leo tofauti ni jina tu.
 
Yaani kwa Elimu yako hiyo na Kujiita kote Great Thinker Ndugu umeshindwa tu Kuelewa kuwa Nyakati zetu zile tulikuwa hatuko so exposed na Mambo mengi ya Kimaendeleo ( ya Kidunia ) kutokana na Mapinduzi ya Viwanda duniani yaliyokaribisha hata Ubunifu zaidi na Teknolojia Kuongezeka hivyo hivi sasa Watoto wetu Fikra zao zimehamishiwa kutoka zile zetu na Wao wamejikita zaidi katika Michezo ya Kisasa kama ya Video Game na mengineyo ambayo haiwalazimishi wao Kuzurula hovyo Mitaani pamoja na kuwa na tabia zetu zile za Uswahili Uswahili. Kila zama za Kizazi kinakuja na Mabadiliko yake ya Kimfumo katika Jamii iliyopo.
Kwa hiyo mtoto kucheza Kombolera ni uswahili?
 
Back
Top Bottom