Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,727
Toka umezaliwa taja chochote ulichobuni chenye faida katika jamii yako au taifa kwa ujumla kutokana na huo ubunifu wako huko utotoni?,
Pia taja bunifu zilizotoka afrika kutokana na huko kubuni magari ya mbao?,
Wewe mpaka leo hii hivyo ulivyobuni viko wapi?
Kwa ile post yako uliyoniquote sidhani kama ubongo wako unafanya kazi effectively.
Nenda kasoma Phycology ya mtoto ndio uje tena.
Una uelewa mdogo sana wa mambo.