jannelle
JF-Expert Member
- Feb 8, 2020
- 1,145
- 2,218
Kila nikisoma maandiko humu naona neno "MBUSUSU" halikosekani🙄
Mfano: kuchakata mbususu, kula mbususu nk..
Ni kinini hicho, maana Tanzania kwa Rejesta/ maneno yasiyo rasmi mnajiweza...
Naomba nijue isije siku nikalitumia sehemu isiyofaa..
NB: kuna mtu inbox aliniambia sijui kuchakata mbususu like that🤔