Hivi MBUSUSU ni kitu gani? Maana naona inatajwa kila kona humu ndanišŸ¤”

Hivi MBUSUSU ni kitu gani? Maana naona inatajwa kila kona humu ndanišŸ¤”

Hivi kwanini wanaume wanaofunguaga accounts kwa majina ya kike huwa wanapendaga sana kuanzisha nyuzi za kindezi za ku draw attention?

Anyways sijamaanisha mleta uzi
Kama hujui kitu better ukawa kimya tu maana hata sina haja ya kujuana na wewe
 
Neno lolote la 'kiswahili kitarafa', lazima ulielewe hata kama haujawahi kulisikia.
Kwa sababu, kwenye sentensi lilimopachikwa neno hilo lazima litakuwa limeunganishwa na maneno mengine kuleta maana iliyokusudiwa.

Hawezi mtu akatupia neno kama taka taka na likaelea hewani kama baloon, hapo mkuu umetudanganya!

Wapo binadamu wengine kuikamilisha furaha yao huwa mpaka aulize mtu jambo alilokwisha kulifanya, akijibiwa kwa ufasaha, hapo furaha yake ndiyo hukamilika.

Kwa mfano unaweza kukuta mtu kaona mwanamke amekaa uchi bila kujistiri kwa nguo za ndani, sasa furaha yake hapo mpaka akasimulie watu wengine kwamba leo nimeuona 'uchi wa mwanamke' live!

Huo ni mfano tu natoa, unielewe vizuri, hauhusiani na mada!

Na wewe hapo wawezakuwa umetekeleza jambo linalohusiana na neno hilo, sasa furaha yako unataka ushuhudie watu wengine wakirudia kulitaja ama kulijadili neno hilo ndipo utapojisikia mswanoo kabisa.
Sawa mawazo yako tu... Bt kuliko kuhisi bora kuuliza
 
Kila nikisoma maandiko humu naona neno "MBUSUSU" halikosekanišŸ™„
Mfano: kuchakata mbususu, kula mbususu nk..
Ni kinini hicho, maana Tanzania kwa Rejesta/ maneno yasiyo rasmi mnajiweza...
Naomba nijue isije siku nikalitumia sehemu isiyofaa..
NB: kuna mtu inbox aliniambia sijui kuchakata mbususu like thatšŸ¤”
K
Kitumbua
Tunda la kati
Kipochi unyoya
Utelezi
 
Kila nikisoma maandiko humu naona neno "MBUSUSU" halikosekanišŸ™„
Mfano: kuchakata mbususu, kula mbususu nk..
Ni kinini hicho, maana Tanzania kwa Rejesta/ maneno yasiyo rasmi mnajiweza...
Naomba nijue isije siku nikalitumia sehemu isiyofaa..
NB: kuna mtu inbox aliniambia sijui kuchakata mbususu like thatšŸ¤”
Kwa kujieleza kwako tu inaonekana unajua maana yake
 
Back
Top Bottom